NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!

Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!

Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu Pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.

Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?

Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?

Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Naona huelewi kuwa mziki wa sauti kubwa ni kero.
 
Na kwenye Mabasi wafuatilie pia.. Kuna baadhi ya Mabasi mpaka ufike mwisho wa Safari Kichwa kinauma kwa sababu ya Makelele ya Muziki..

Japo kwa Serikali yetu hii najua siyo muda mrefu Kelele zitarudi na hamna atakayejishughulisha.
 
watu wenye akili yakuona mbaali. tumeshabain nini kimelegwa kufutwa

1. Makanisa. mengi saana yamelegwa kufugwa. hiii ikimaanisha kwamba nchi hiii itakuwa nadin. roman, usabato na uisilam tuu katk nchii.

2. wamelenga kudhooofisha raia ili iwe rahisi. kutawala. coz raia wanatakiwa kuwa masikin. watawaliwe kirahis

3. wamelenga hasa watu wanaotoka Kanda ya ziwa, na kati waondolewe kwenye system kabisaa. Ili watu. wapwani na waisilam ndo watamalaki kati nchi

4. teuzi zijazo. wakristo wataondolewa saana kwenye nafasi nyeti. hii nikampeni. nadhani yakugauza nchi hiii kuwa ya kiislam watanzania tuamke. nchi inaenda kugawanye nakusambalatishwa kidin. mtakumbuka. tumeshamalizana
Nafikiri hizi Kelele ambazo Nemc wanapambana nazo zimekuathiri pakubwa mkuu.
 
 
Kuna watu wanaweka alarm saa 11 waamke nazo zinawapigia kelele pia ata hyo adhana Kuna watu sio waislam lakin inawasaidia kuamka asubuh pia adhana ni dakika 5 ila Kuna watu wanapiga kelele Zaid ya dakika 20


Zote ni kelele hata ikiwa Kwa dakika moja
 
Kwa anayekunywa pombe kinachotokea ni kuwa kadiri pombe inavyozidi kumuingia ndio pia inapunguza uwezo wake wa kusikia vizuri,unakuta wanaingia bar wanaongea taratibu lkn muda unavyozidi kwenda sauti zinaongezeka ili waweze kusikilizana,kwahiyo hata mziki nao ili wausikie vizuri sauti lazima iwe ya juu,sasa wewe usiokunywa ndio unabaki kushangaa kwanini sauti ni kali na kuna makelele kumbe kwa wenzako ni sauti za kawaida kabisa.Hapo labda hizo Bar zifungwe zote nchi nzima zihamishiwe nje ya miji kitu ambacho hakitawezekana...
 
Naomba kujua kama umejenga baa nje ya mji na raia wakaja kujenga hukohuko hapo kosa ni la nani?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mara nyingi hakuna anayejepiga mziki nje ya mji maana wateja hamna. Ila maeneo ya starehe katikati ya mji hayatakiwi kuzidi 40 dB za sauti hivyo anayejenga club mjini automatically anabidi ajenge ikiwa sound proof itoe sauti kidogo nje. Hizo ni gharama na kuondoa wateja wanaopenda kujiachia.

Makazi ya watu ndio yanasumbua kutokana na malalamiko ila sehemu za biashara hakuna usumbufu mkubwa maana hawalali hapo
 
Sound proof Mzee, mbaki na makelele yenu humo humo ndani muue masikio yenu yenyewe na kusikiliza wenyewe mnayoyapenda.
 
Kwa hili nawaunga Mkono Serikali na Nemc.

Mabaa yooote mabarabarani yanayopiga miziki hovyohovyo piga marufuku kabisa, baa ziwe maeneo maalum yasiyo na makazi ya watu au kuwe na sound proof na wale madada wanaouza nyuchi zao wawe humo humo ndani.
 
Pale Tabata jioni au saa mbili asubuhi watoto wanaenda mashuleni au kurudi wanaona madada poa na vinguo vyao vya hovyo wamezagaazagaa hovyo mitaani.

Mabaa yako mitaani openly watoto wanaona mambo ya hovyo hovyo..
 
NEMC sasa imeanza kujitambua. Hili suala ni mtambuka washirikiane na Wizara ya Afya kutoa elimu ya athari za sauti kubwa kiafya. Lakini pia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum maana asilimia kubwa ya kumbi zinatumika kama kivuli cha kuficha maovu mbalimbali. Na pia Wizara ya Mambo ya ndani inao wajibu wa kufuatilia nyenendo za mikusanyiko hiyo katika matamasha na kumbi hizo.
 
Nipeni kazi niwafungie Sound proof kwa kumbi, Lounge ama Night Club....!

Kama Bar yako ni open, jifunze kufungulia mziki kwa sauti ndogo.
Acheni kulalamika!
Wanataka nchi iwe kama kongo

Mikelele tu...kila mtu awe mkata mauno

Ova
 
Yani NEMC washikilie hapo hapoooo, Nchi imekuwa haina utaratibu hata kidogo, yani milevi inavyolalamika haifikirii kabisa kuhusu wengine, mnajenga Bar kwenye makazi ya watu, mnapiga mziki sauti kubwa, huwezi kulala, huwezi kusoma, kama una mgonjwa au unaumwa suala la kupumzika sahau.
Mimi mwenyewe mnywaji nguli

Ila makelele nooo

Kuna bar tunakaa na tunakunywa bila

Sauli sema hiki kizaz cha amapiano singeli ndy shida

Ova
 
Kuna sheria kuwa miziki isivuke level flani mkuu.
Za nmna hizo nyingi ni grocery sama binadamu ni wagumu wanageuza bar na mziki mnene
Tatizo hivi bar wanaforce ziwe kama nightclubs

Ova
 
Wanafki wa bongo bhana,
Mnavyouziwa konyagi ndogo elf kum huwa ñi kawaida¡
 
Kwani hizo bar ni kumbi za mziki au zinauza pombe?

Kwanza zilipaswa zifunguliwe sehemu isiyo makazi ya watu, pili wajikite kwenye biashara yao ya kuuza vinywaji na chakula, tatu wajue kwamba kuna binadamu wanaishi na hawataki kelele

kama kuna mtu anabishana na maamuzi sahihi ya NEMC, HAKIKA HUYO MTU NI MPUMBAVU

MWISHO, huu uzi ni wakipumbavu sana , kwa hivyo hizo bar amabazo tuko nazo majumbani zipige muziki tu bila control ya serikali, yaani sisi tusiopenda muziki tuumizwe tu kwa sababu wao wanafanya biashara. VERY STRANGE WAY OF THINKING, ITS ONLY IDIOTS CAN ARGUE LIKE THAT
Bar wanapolazimisha zi operate kama night clubs
Utakuta bar inapiga tangazo linasema
Kutakuwepo na disco

Ova
 
Nipo na serikali, mziki mkubwa ni kelele kwa jamii.
Wajenge kumbi za ndani kwa ndani waweke materials ya kunyonya sauti
 
Back
Top Bottom