NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

Adhana na Maspika ya Walokole na Kengele za Makanisani yaendelee kuwaburudisha wanadamu.
Km hujasikia taarifa kamili bora utulie uendelee kusikilizia tu mana hata makanisa na misikiti ipo kwny huu msako
 
Me ningekua mjumbe wa NEMC ningeanza na jamaa mmoja sijui ndo mchungaji yaani akishiba tu anaingia kanisani anaweka kipaza saut nje anaanza kupiga kelele na anakua peke yake,yaan anaomba huku kashika simu pia anakua anapandisha na kushusha mziki,jamaa ni msumbufu sana asee
 
Na zile kelele zinazojirudiarudia za vispika vya wamachinga bila kusahau kelele za magari na bodaboda......jiji limejaa makelele kila kona leo unaenda kufungia baa kweli? au ndo ile kutafuta kiki tuonekane na sisi tupo tunafanya kazi.
Inabid uelewe wameanza na Bar awamu ya kwanza na sahihi mana kero kubwa ya kelele iko kwny hizi Bar mana zinapga almost masaa 20 out of 24,so ni sahihi kuanza nazo na ni hatua ya kupongeza kilichofanywa na NEMC na sio kubeza,taarifa kamili inasema huu msako utahusisha pia makanisa na misikiti
 
Kuzifungia Cornerpub zetu suo powa kabisa. kafungieni Zanzibar kwenu sisi hapa Bara makelele ni jadi yetu.
Kakwambia nan zimefungwa zote ni nani Mkuu?!

Ndo shida ya wabongo yaan mtu asipoleta taarifa kamili humu JF hata akiamua aiweke kiuchonganishi watu mnavamia ivo ivo kichwa kichwa aisee
 
Daah hiki kispika changu cha tunanunua dola na pesa chakavu naona NEMC watapita nacho ni kuwaangalia wavaa suti vizuri tuu...
 
Huna hoja.

Bar lazima waweke mziki wa juu?

Kama mnataka muziki wajuu jengeni bar nje ya mji pasipo makazi ya raia.

Wananchi pembezoni mwa bar wanateseka sana.

Katika hili niko na serikali
Tafuta mahali unywe mtori bakuli mbili nakuja kulipa!!!
 
Nchi ina wajuaji wengi wanaonuka umasikini na wivu wa kutosha.

Wasichojua tunategemeana sana...

Unafunga bar Lakin TRA wanadai VAT returns ya 18% bado SDL na Takataka kibao...

Kelele kwa baa hapana., ila kwa maspika ya makanisa sawa..

Nchi ina mamlaka zaid ya 40 na zote zinasimamia kitu kimoja.
Kwahiyo waendelee kusumbua watu jamani!?
 
Kumbe makelele ya hivyo vispika hayakukeli mzee, mixer maspika ya matangazo, mahubiri na adhana........mbona mimi huwa nikikatiza maeneo kama kariakoo hizo kelele za vispika huwa zinanitia wenge kinyama, nakuwa natamani niondoke haraka maeneo hayo. Hao NEMC waache double standard kwenye ku-enforce sheria, vinginevyo watasababisha malalamiko kama haya.​
Ko unataka kusema serikali ikutafute na kuifanyia kazi kero yako against vispika vya wamachinga?!! Mkuu em kuwa serious hakuna kero pale,
 
Nchi ina wajuaji wengi wanaonuka umasikini na wivu wa kutosha.

Wasichojua tunategemeana sana...

Unafunga bar Lakin TRA wanadai VAT returns ya 18% bado SDL na Takataka kibao...

Kelele kwa baa hapana., ila kwa maspika ya makanisa sawa..

Nchi ina mamlaka zaid ya 40 na zote zinasimamia kitu kimoja.
Vat hudaiwa kama umeuza.
Kama hujauza hutadaiwa. Naunga mkono bar kufungwa Kwa kupiga kelele kwenye makazi ya watu.


Tii sheria kama hutaki funga bar

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kaka siamini imani hiyo kwagu ni makelele tu,hata wewe ikipigwa kengele za kanisani zitakupigia kelele
Zamani misikiti ilikua inajengwa kiutaratibu ila sijui nn kimeikuta hii dini misikiti imekua km makanisa inajengwa ovyo kinoma kelele sio poa
 
Inashangaza unalilia kelele, bar nyingi zimewekwa katikati ya makazi ya watu. Kuna magonjwa yasiyotaka mishtuko, kuna watu kwenye kelele hawalali. Kuna wanafunzi wanahitaji kujisomea.

Mbaya zaidi hizi bar wengine wamewekeana karibu, kwa maana hiyo wanashindana nani muziki wake utasikika zaidi. Wafikirie na watu wengine wanaoishi jirani. Wafanye utaratibu muziki uwe wa wastani usiokera wengine.
Geita kuna mtaa nlijichanganya nika lodge mchana palikua shwari ilovyo fika usiku nlijuta kulala pale kuna bar zaidi ya nne zimesogeleana mziki unapigwa kwa kushindana mbaya zaidi wanakesha ! Asubuh nliamka na fatigue ya kufa mtu
 
Tuache upotoshaji NEMC wanachosimamia ni kutdhibiti uchafuzi wa mazingira. Kupiga muziki kupita kiasi huo ni uchafuzi wa mazingira. Wekeni sound proof wacheni ushamba

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom