Mkuu hatusemi nyumba ya ibada ifungwe bali tunashauri watumie busara kung'oa haya maspika waliyoweka nje wayaingize ndani. Waumini wapo ndani haya maspika yapo nje kwa kazi gani kama sio kuwapigia kelele wananchi wasiohusika na ibada yao?Sio ukorofi bali Sala zilikuwepo miaka yote na hakuna sheria inasema adhana marufuku...
Kuna siku moja hapa mitaa ya nyumbani baa walikuwa wanapiga kelele, jamaa yangu mmoja kawasha lisabufa lake kaweka sauti hadi mwisho, mbona walikuja kuomba poo! Tangu siku hiyo wakawa na adabu wakapunguza kelele.Hayo makanisa yanayokesha dawa ni kuwanunulia spika kubwa na kuwawekea singeli.
Kuna wakati wa kila kitu, Mungu hakusema twende kanisani kila siku.
Alitoa siku 1 tu ya kumuabudu
π π π yasitishe magari kwanza uchafuzi wa mazingira na kelele kibao.Mkuu magari yanapita barabarani hayaji kwenye makazi ya watu. Sisis tunaongelea hizi kelele zilizopo kwenye makazi ya watu.
Ndicho kinachotakiwa kifanyike, wafate uwaeleze.Kuna siku moja hapa mitaa ya nyumbani baa walikuwa wanapiga kelele, jamaa yangu mmoja kawasha lisabufa lake kaweka sauti hadi mwisho, mbona walikuja kuomba poo! Tangu siku hiyo wakawa na adabu wakapunguza kelele.
Kwani magari yanapita wapi?Tunashughulikia kwanza hizi kelele zilizopo kwenye makazi mkuu.
hapa sina hojaMkuu inabidi uwekwe utaratibu kwa nyumba zote. Waelekezwe haya maspika waliyotundika juu ya paa wayashushe wayaingize ndani ya nyumba ya ibada. Waumini wapo ndani haya maspika waliyoweka nje ya kazi gani?
Tandale sehemu gani kuna nyumba za ibada nne sehemu moja ndugu mwandishi? Mana mimi mwenyewe ni mkazi wa TandaleNdio mkuu na kila moja imetundika spika 4 juu ya paa; jumla spika 16. Naishi maeneo ya Tandale.
π π πYanapita barabarani mkuu. Lakini walau magari kelele inapita inaondoka kuliko hii ya maspika yanayolizwa mara 5 kwa siku. Watu hatupumui!