NEMC wekeni utaratibu wa ibada; huku mtaani leo hakukaliki kwa sababu ya kelele!

Umesahau kuwaambia ni wapi huko kuna hayo makelele.
 
Acha dawa ikuingie mkuu,wameona kanisani yanyewe unaenda kwa Manati,wamekusogezea huduma karibu yako.
 
Acha dawa ikuingie mkuu,wameona kanisani yanyewe unaenda kwa Manati,wamekusogezea huduma karibu yako.
Yaani wee acha tu mkuu. Hawa jamaa wanatukomesha sana na hizi kelele zao. Hatuna raha!
 
Ni kero sana huku Kimara Bonyokwa kuna shule ya Vertas kuna kanisa Juu Vyumba vinane kuna kanisa halafu wote wanafungua mahubiri kwa makelele....sijui ni nani kawadanganya makelele ni njia ya kuomba. Walokole ni wabinafsi sana..hawajali kbs kama kuna wagonjwa. Huu ujinga sijui utakoma lini.
 
Aisee hapa kwetu pua na mdomo na nyumba za ibada tatu ni mseto,,,,,,jamani jamani ni kero kero
Hiyo "keroo" kwa sauti ya mama Sinya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa mtaani,Kigamboni kwa Steven kuna hili kanisa hatujawahi kulala jamani, Wanapiga mziki mkubwa na kukemea mapepo hadi saa 12 alfajir na wanaona wako tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayo mahekalu ya wezi yangechomwa moto kama yasipofungiwa. Tusingoje akina Mackenzie wengine wa Shakahorror
 
Mkuu haya makelele yapo kila mahali. Mimi nimeweka tu kama sampo ili NEMC waingilie kati.
Kwa kuwa tu Wakristo ni wapole, vipi kuhusu (Adhana) Msikitini, wakiwaguza wataisoma namba, ni maandamano nchi nzima, hawa jamaa wana umoja sana.
 
Hiyo "keroo" kwa sauti ya mama Sinya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi tunaomba NEMC watupe pointment ni lini watakuja kutusaidia huku. Tunanyanyasika mno πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hili ni tatizo kubwa sana mkuu. Inatakiwa NEMC wafanye kazi 24/7 maana hali ni mbaya huku mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…