Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

Tuombe hii elimu na pesa ziwafikie kweli walengwa na usiwe upigaji kama kwenye mipango na pesa za kuwasaidia wavuvi.

Maneno matupu hayatoshi.
Mama anajitahidi sana kuleta fursa kwa Watanzania, na pindi michakato inapoanza ya kipesa apo ndipo wapigaji hasa watendaji wanaanza kuzipiga pasipo kujali kusudi za hizo pesa....na mwisho wa siku ukija kupima mrejesho wa hizo pesa unakutana na harufu tu na mabaki ya project lkn muendelezo wa hizo project hakuna, tunapaswa kutoka uko, ukipewa nafasi Jitahidi uache legacy nyuma yako, tunakoelekea uko miaka ijayo chakula ndo kitakuja kuwa ndo mitaji ya matifa, na wala siyo mafuta wala rasilimali Kingine.
So tunaitajika km taifa kuanza kuwa na strategic plan za namna tunaweza kuanzisha mashamba makubwa ya umwagiliaji ambayo yatafungua fursa nyingi za kiuchumi hasa Ajira kwa vijana, pesa za kigeni baada ya kuuza mazao nje ya nchi, tutapunguza utapiamlo kwa watu watu na mwisho kujenga taifa imara lenye ustawi wa jamii....
Sasa iyo mikakati najua ipo tayari lkn tatizo ni wale watekelezaji wa iyo mikakati ni watu ambao wakiwa nje wanaonekana kabisa ni wazalendo na watu sahii, sasa wakishaingia ndani ya iyo mifumo baada ya muda fulani utaanza kuona rangi zao halisi, siyo wote lkn ni baadhi tu ya watendaji....mkumbuke Mama alishasema yeye hana uwezo wa kimpigia mtu kelele, ila atacheza na kalamu ndani ya mikeka yake.
 
Back
Top Bottom