Nenda Sabaya lakini bila wewe haya yasingewezekana kutokea wilaya ya Hai

Nani amemtuma mbowe kuwa gaidi?
 
Huyu mama kachemka mno..anatakiwa areasons sana kabla ya kutoa maamuzi..kuna shida mahala...nadhani walikuwa na bifubbinafsi lakini asingepaswa kufukia kiwango hichi.
 
Hiyo #2 ningekuwa moderator ingetosha kabisa kukulima life BAN,uchaguzi ufanyike leo hapo Hai asimamishwe mtu mwengine tofauti na Mbowe CCM hamna kitu itapata hapo.
Umetumia kipimo gani
 
Vipi mbowe nae atakuwa mfungwa wa kisiasa? Tutegemee nae hatamaliza kifungo chake? Sabaya amefungwa kwa makosa ya unyang'anyi wa kutumia silaha
 
Vipi mbowe nae atakuwa mfungwa wa kisiasa? Tutegemee nae hatamaliza kifungo chake? Sabaya amefungwa kwa makosa ya unyang'anyi wa kutumia silaha
100% atakula mvua 10 lakini atakuwa mfungwa wa kisiasa
 
Nakushauri rudisha mahari ya Sabaya umri unakuruhusu kumpata mwingine
 
Sidhani kama kaiona Ile clip ya Bibi inatia uchungu sana,maana Bibi aliamua kumwachia Mungu. Na Mungu wake hajamwangusha kamlipia.
 
Hakuna lolote ni dhulma na rushwa amekula hakuna cha kodi imeongezeka .aketeula kua manager wa tra
 
Pole mkuu hujaamini kalamba salasa 😂😂😂
 
Huo ndio ukweli, Sabaya ni mfungwa wa kisiasa. Kinachouma ni kusalitiwa na mkuu mpya wa chama na rais wa jamhuri.
 
Lazima utakuwa na matatizo ya Akili, Hai iko Kilimanjaro kila kitu ni organized. Sabaya alikuwa agent wa yule ibilisi mkuu
 
Eti anaenda hadi arusha kukamata watu yaani anaingia eneo la mwenzake na kikosi cha Usalama bila mwenzake kujua duu dogo akiona Jiwe ni munguwake
Tatizo na Arusha walimleta mtoto yule Kihongosi anaimba tu Bongo Flava hovyo kabisa
 
Umejitahidi kuwaza kitaahira,endelea hivyo utakuwa unamatatizo maalumu siyo yahapa na pale!!
Unasifu upuuzi huu
  • anapora wanabiashara hela kwavitisho kukuza mapato
  • anatisha na kudhulumu wanasiasa mbadala
  • kutojali sheria
Tuambie ameongeza ajira?
Ameshawishi viwanda?
Amekuza kilimo/ufugaji?
Ameboresha mazingira?
Amechochea biashara?
Ameinua elimu/afya/maji nk.?
Au alijidai tuu gangstar vita na uonevu mwingi na kujirusha club na wanawake wazuriwazuri??
 
Tumia dawa ya mfadhaiko wa akili (depression) we mgonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…