Nenda Sabaya lakini bila wewe haya yasingewezekana kutokea wilaya ya Hai

Mburukenge wewe, mwenzio ananyea mtondo na kupapaswa tigo saa hii wewe upo kwenye keyboard unajipirikicha Kama unatafuta basha akufyatue! Nyau we![emoji2][emoji2956]
 
Sabaya ni CCM
Samia ni CCM

Tatizo liko wapi? Si wayamalize kifamilia
Utasubiri Sana! Kesi za kisiasa ni Uchochezi, Uhai na ugaidi! Saambaya kafungwa kwa ujambazi wa kutumia silaha! Hiyo sio kesi ya kisiasa!
 
Tuoneshe ambavyo Sabaya kapandisha mapato hapa, pumbavu.
 
 
Mapato kutoka kwenye biashara zipi?

Lete hizo data na source hatutaki porojo
 
Ashapigwa mvua ya miaka 30 hutaki kajinyonge
 
Ni vzr ukatafuta mawakili ili angalau 50 ili mkakate rufaa
 
Moja ya member kilaza na Msukule Toka
Jamii Forums ianzishwe mwaka 2006 na founder wake Maxence Mello & co
Kama Jambo Forums

Kwakweli unastahili Tuzo ya Ujuha
Kinuju!
😁😁😁😁
 
Kwa taarifa yenu sabaya bila marehemu ni mwepesi mno nazani ushahidi mnao sasa,
Ameondoka kwa kasi ileile aliyokuja nayo. Nadhani akiongea tena na 'Clouds' atafafanua vizuri sana kwa machozi ya kutubu. AMEN
 
Tafsiri mpya ya uzalendo iliyoasisiwa na jambaxi mwendazake
 

Mkoa wa Simiyu umepiga hatua nyingi sana kimaendeleo,mpaka kuishinda mikoa mingi tuu mikongwe na ya zamani. Je RC wake Antony Mtaka aliyesimamia hayo yote ana makandokando kama ya huyo unayemtetea? Jokate na Julius Mtatiro pia wamefanya mazuri sana ya kimaendeleo kwenye wilaya zao vipi na wenyewe wako gereza la Kisongo kwa uporaji na unyang'anyi wa kutumia silaha? Nauliza tuu....
 
Imesaidia nini wakati sasa jimbo lake la Ubunge kwa miaka 30 au zaidi ijayo (bado hatujajua kesi ya pili itajibu nini) ni Kisongo???
Babu Seya alihukumiwa maisha jela lakini leo yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…