Nenda Sabaya lakini bila wewe haya yasingewezekana kutokea wilaya ya Hai

CCM waliiba kura nchi nzima na wameua sana, mfano kitendo cha kumwonea Sugu na kumfunga na kupora ubunge kilinisikitisha sana
 
CCM waliiba kura nchi nzima na wameua sana, mfano kitendo cha kumwonea Sugu na kumfunga na kupora ubunge kilinisikitisha sana
Mawakala wa Chadema wakati wanaibiwa kura walikuwa wapi?
 

Sabaya: Haki Imetendeka na kuonekana ikitendeka

Angeachiwa huyu mbona "mob justice" ingemhusu, kama mnampenda subirini hasira za wahanga wake japo zitulie.

Huyu bwana alikuwa mwovu sana. Hilo wala halina ubishi.
 
Hebu leteni number ya mchumba wake watu waanze yao..miaka 30 na bado ana kesi nyingine kutoka lini?...mtoto mzuri anahitaji huduma zote za kiuchumi na kimwili.. number tafadhali.

Dogo hakuna na adabu kabisa huyu, wacha tumfundishe na yeye zamu yake uchungu wa kuliwa vya kwake.

Bahati mbaya ni Jela za TZ; ingekuwa ulaya kule wanaruhusu garagha ila bomgo mzee ni mwendo wa vichelema vya sabuni.
 
Ushajiuliza kwa kesi ya ugaidi mbowe atatoka lini?
 
Akibahatika kumaliza...atatoka 60+. Hakuna hata uzao wake dunia hii. Sabaya inaonekana ni mchoyo...au hataki majukumu.. Kwa nini hajaoa au hata kuwa na mtoto...aliona raha kule kwa mpalange.... Wekeni vikojoleo sehemu sahihi
 
Pole ila hauko fare untangling waliofaidika huangalii walioumizwa weka mpira kati ndiyo ufanye maamuzi
 
Akibahatika kumaliza...atatoka 60+. Hakuna hata uzao wake dunia hii. Sabaya inaonekana ni mchoyo...au hataki majukumu.. Kwa nini hajaoa au hata kuwa na mtoto...aliona raha kule kwa mpalange.... Wekeni vikojoleo sehemu sahihi
Gaidi ndiyo atatoka na 60+
 
Those are things he could have done soberly and within the parameter of good conducts and legitimate influence

On the contrary, the things you are proudly giving him credits for are the ones that have had damaged him. The reason being this simple that, He was using illegitimate and banditry ways to achieving them. Speaking authentically, you can't approve such things a plus!!!
 
Mbowe anakula mvua lini
 
Sabaya ni jambazi sugu
 
Kweli nchi hii ilikuwa imeenda mbio sana yaani alikuwa anatekeleza maagizo toka juu ya kubaka,kupora,kwa kutumia genge lake na mibunduki kweli???utawala uliofitinika aisee!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…