Nenga ana roho ngumu sana. Mimi siwezi kuachwa na mwanamke achumbiwe na mwingine, halafu baadaye anirudie nimuoe

Waswahili ndiyo zeu kuoa makayamba. Huku kwetu na pwani, sifa ya mwanamke ni kuwa na VYUO vingi , aliyekubuhu, limeachwa mara kama tano halafu unaoa ndiyo zenu!
"Kushaba Eshabile"
Sema tena na tena. Kwa waswahili ngono ni tendo la ushirikiano. Mwanamke ni wa kila mwanaume mwenye ''kisu'' kirefu. Utasikia wanaambia wanawake wao, unaibania ya nini inakwenda kuliwa na nyelele hii ukifa! Mila mbovu kabisa hii.
 
Iwapo Ruge angekuwa bado hai, hata mimi nisingeoa.

Lakini kwa mazingira yao ni halali tu kuoana maana Nenga alisema kuwa nae alikuwa kwenye mahusiano na mtu mwingine na wakaja kuachana. Hivyo kwa sasa hao wote wameshakomaa wameshamaliza uvulana na usichana.
 
Ww huoni hapo kuna mpango wa Mungu ? Yaan Sir God kampunguza mzabuni mmoja ili nengale ajishindie tenda kiurahisiiii😂😂😂😂

Ila kumbuka pia jamaa alichomfanyia mtoto wa watu ktk kale ka video kaliko trendigi kipindi kileee lile li pichu la Pink .
 
Duh...hawa wanaume wasionudhuria vikao sasa itabidi tuwawekee adhabu kali sana.
Itabidi tuunde tume ya nidhamu
 
Huyo RM si ilisemwa aliaraaipiishwa na dalii kimoko jmn..embu acha inyeshe kwanza tujue panapovuja
 
Huna kitu SASA.......utafanyaje......Ila jamaa ilikuwa ni ridhiki yake mwenyezi mungu ameamua Kwa haki.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…