Neno "DEAR" linatumika vibaya au ni Ushamba wangu

Kwani dear ni neno la kibantu?Waliotuletea wameleta pia na matumizi yake.Waingereza ndio wenye hiyo lugha. Unadai sisi sio Europeans tatizo dear ni neno la kiingereza. Unataka kuleta tafsiri unayoitaka wewe?
LImekaa kimahaba, inakwaza mtu usiyemfahamu kukuita dear
 
Dear maana yake ni mpendwa, si lazima awe mpenzi. By the way kwa wanaume hatutumi hili neno hovyo eti umwite mwenzako dear. Sisi ni mkurugenzi, boss, kiongozi. Nyie wanawake ndio mnaitana hata love, sijui mpenzi.
 
Dear maana yake ni mpendwa, si lazima awe mpenzi. By the way kwa wanaume hatutumi hili neno hovyo eti umwite mwenzako dear. Sisi ni mkurugenzi, boss, kiongozi. Nyie wanawake ndio mnaitana hata love, sijui mpenzi.
Mwanaume kaniita mimi dear, na sina mazoea nae. Imekaaje hiyo. Tena ni msg
 
Toa upumbavu wako,mzike kwanza mjomba ndo uje kulia lia mtandaoni. Jf imeingiliwa na watoto wa alfu2. PUMZIKA KWA AMANI MJOMBA, hakika umeacha mpwa jinga duniani.
Are you okay?
 
Tunawaita dear wakurugenzi kwenye makampuni katika barua wewe unazungumzia zamani ipi ambayo hilo neno lilikuwa halina maana nzuri achana na dear za kina ZUCHU dear maana yake ni mpendwa katika mazingira mengine
Zamani ilikuwa kwenye barua tu. Nazungumzia enzi za nyerere
 
Mwanaume kaniita mimi dear, na sina mazoea nae. Imekaaje hiyo. Tena ni msg
Labda ni kuonyesha good gesture. Wanawake mnaitana vyovyote kimahaba mahaba. Mimi tu mwanaume akiniambie nimekumiss namkata jicho hilo kwa mshangao.
 
Dogo anataka kukukula kuwa naye makini dear
 
Upumbavu wako wakutokwenda shule. Dear maana yake ni mpendwa kwa kiswahili
Kwenda shule hakumaanishi kudestory asili yetu wabantu, huyu mtoa mada namuelewa vizuri kuna namna unakuta mtu anakuita iwe kwa sauti au kwa msg aahhrr inakera hasa ukute wa jinsia yako dah inafikirisha....pamoja na masters yangu sijawahi kupenda kuitwa itwa ivo vimajina bila uhusiano wowote....na wewe punguza ulimbukeni ukahisi kusoma ndo kubleach uhalisia wa maisha ya mtz
 
Linatumika vbaya hasa kwa diff gender, viwanawake vidangaji ofsini ndio zao zinajifanya kama vnatania dear dear kumbe ndio vna express upatikanaji, ukifuatilia tabia zao udangaji mtupu , hakuna mwanamke anayejiheshimu goes qrround calling Men majina ya kimahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…