Neno "DEAR" linatumika vibaya au ni Ushamba wangu

Nashukuru kwa kunielewa. Utamaduni wetu hatuna mahaba ya hivyo
 
Labda ni kuonyesha good gesture. Wanawake mnaitana vyovyote kimahaba mahaba. Mimi tu mwanaume akiniambie nimekumiss namkata jicho hilo kwa mshangao.
Binafsi imenichukua muda sana kumuita mwanamke mwenzangu dear. Sasa hivi naweza lkn ni kwa marafiki zangu wa karibu tu. Kama mtu simjui na sina unaribu nae siwezi kumuita dear
 
Kwann wasiseme mpendwa!! Kimsingi haya Mambo ya kusagana huwa yanaanzaga hivyo hivyo!

KwaSasa wanawake wengi wameangukia kwenye kusagana, wengine huwezi kuamini.

Wengi wanakufa na Siri zao moyoni ila kiukweli wanafanya saana

Kwann wasiseme mpendwa!! Kimsingi haya Mambo ya kusagana huwa yanaanzaga hivyo hivyo!

KwaSasa wanawake wengi wameangukia kwenye kusagana, wengine huwezi kuamini.

Wengi wanakufa na Siri zao moyoni ila kiukweli wanafanya saana
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nilikosana na mpenzi wangu baada ya kuona msg niliyotumiwa na rafiki yangu wa kike iliyoandikwa "mambo dear".
Alikasirika as if ni msg kutoka kwa mwanaume, sikuelewa
 
Kwanza pole sana kwa kufiwa na mjomba.
La pili neno Dear linatumika sehemu nyingi tu, kwa huyo ni sawa kwa sababu mnajuana kwa mda
Lakini kuna wakati unaweza kukutana na mtu labda ofisini wakakuambia hello love
Na hakujui
Ila haya maneno ni kawaida hapa kwa wenye lugha yao I mean waingereza
 
Mkiambiwa msome mnakimbia unande, dear kwa kiswahili ni ndugu, ktk barua za kikazi linatumika ktk utangulizi eg Dear Sir!
 
NImekuelewa dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…