msingi wa uwajibikaji wake ni chama chake cha siasa kilichomdhamini kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi πMbunge anawajibika kwa nafsi yake, kwa wapiga kura wake, kwa nchi yake na kwa chama chake.
Si kwa chama chake tu.
mbona maneno meengi ila yoote hakuna mahali unaonesha kwa data kwamba alichokisema ni uongo!?kwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa...
neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya mambo yake, iwe ya kisiasa, kijamii au kiuchumi...
haiwezekani utaratibu wa taasisi unaelekeza mambo yafanyike hivi ila wewe unafanya kinyume chake kwa makusudi.
kwa mfano taasisi x utaratibu wa maisha ya wanachama wake Lazima kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, lakini wewe unaanza kuvaa mguu wa kushoto kwa kujua kabisa ni makosa, lakini kwa jeuri na kiburi cha skio la kufa wewe hujali na unakiuka utaratibu...
nenda unako enda, kiuka utaratibu, mila desturi na utamaduni wa taasisi hiyo, you will not survive completely...
kizuri ni kwamba unaweza kua huru na mwenye haki, ukuamua kujiondoa kwa hiari yako na kujiunga na taasisi nyingine ikiwa unahisi hupendezwi na mambo ya kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, hali ya kua wewe unapendelea kuanzia mguu wa kushoto..
toka kwa amani, na uende kwa uhuru tafadhali..
ni lazima na muhimu sana uendako kuzingatia kanuni, taratibu, miongozo na sheria za taasisi husika, kwa kufanya kazi kama timu moja bila kuathiri misingi ya taasisi yenyewe, mila, desturi na utamaduni wa mtindo wa maisha ya taasisi hiyo.
vinginevyo huwezi kudumu popote utakako kwendra, kwa kuishi kwa tabia na majivuno yako yenye ujuaji mwingi hali ya kua mbele kiza...
mwanzo wa mwisho wako CCM uliuanza mwenyewe kwa hasira na chuki za kutemwa barazani, na una uhitimisha mwenyewe kwa kishindo, cha kusingizia watu vitu visivyo na uhakika wowote,
kwa kukubali kurubuniwa kwa kulamba asali na kuufanya uongo kua kweli, kwa tamaa ya fedha na mali, za wahujumu uchumi, waliokusudia kuhatarisha amani na utulivu wa Taifa, uzalendo wako ni wa mashaka sana...
na katika muda usio kua mrefu utaondoka ccm, utaondoshwa au utabanduliwa rasmi CCM bila wasi wasi wowote....
na walio nyuma ya jeuri na kiburi yako hiyo unayoonyesha kwa chama na serikali sikivu ya CCM, watabainishwa bayana na kuanza kutajana rasmi kwa majina yao, moja baada ya mwingine...
kiufupi huna tena maisha wala uhai wa uanachama CCM. na hata ukiachwa huta kua na furaha wala amani ndani ya chama
kwa heshma na ustaarabu ondoka CCM.
utakapojikuta umeshiwa nguvu na ushawishi kisiasa, ujue sasa ni rasmi uko nje ya CCM, na hizo ndizo miongoni mwa athari utakazo kutana nazo ukiwa upinzani..
lakini pia,
nguvu ya utamu wa sukari ya makampuni ya sukari uliyolambishwa itakapokua imeisha ladha mdomoni kwako, vile vile utaanza kubaini kwamba uzushi unaweza kukusababishia uchungu wewe mwenyewe na kuathiri maisha ya kisiasa π
Mungu Ibariki Tanzania
gentleman,Mzalendo mpina hajakiuka taratibu yeyote isipokuwa hili bunge limejiwenea utaratibu mbovu katika kuwasilisha ushahidi wa mbunge.kwanza huo utaratibu hawajatushirikisha sisi wananchi ambao tuliwachagua.Na hata kama amekiuka utaratibu je tuhuma ni za uongo?jibu ni hapana isipokuwa wameona hili sakata linamgusa kizimkazi na kuanza kukomalia mambo ya kipuuzi kabisa.Hii Nchi inaongozwa na majambazi tupu.siku tukipata mzalendo au Mimi mwenyewe nikashika usukani.nitaanza na huyu tulia Kwa kupindisha utaratibu wa bunge
Katika jambo ambalo chama chako hakiwezi kufanya KAMWE ni kumfukuza Mpina!Hyo haitakaa itokee milele!πππmsingi wa uwajibikaji wake ni chama chake cha siasa kilichomdhamini kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi π
once amebanduliwa kwenye chama chake, anapoteza nafasi ya ubunge na wananchi wanapaswa kumchagua muwakilishi wao mwingine π
wew we we unazungumzia data? kwa huyu muungwana mpika data za uongo na uzushi?π€£mbona maneno meengi ila yoote hakuna mahali unaonesha kwa data kwamba alichokisema ni uongo!?
Kaa uelewe mambo haya mosi,duniani koote hakuna mahali mabaya yanafichuliwa kwa kufuata utaratibu,ujue hilo!Maovu yoote huibuliwa kwa kukiuka utaratibu we umesomea wap poti!?Edward Snowden amefichua war crimes kwa kuvujisha siri tena classified kabisa...Kaa tu ukijua mara nyingi wenye roho za hivyo huwa hawakuogopeni kama unavyodhan!
Pili utaratibu wa taasisi x hutumiwa pia kuzima hoja nyeti hii ni sawa na kusema Serikali ya makaburu ilikuwa na sheria na taratibu na kwamba kuzivunja ilistahili adhabu lakini hiyo haimaanishi zilikuwa za haki(za ubaguzi)!!!
So say what u wanna say but the boy stands firm today and tomorrow!πͺ
we we mtie moyo tu mkalia kuti kavu ajisahau π€£Katika jambo ambalo chama chako hakiwezi kufanya KAMWE ni kumfukuza Mpina!Hyo haitakaa itokee milele!πππ
Chawa mtaishia kulialia tu hapa jukwaaniπ π .Kama Lukuvi,Majalala na yule mwl wa chuo kikuu mlishindwa hata kuwasimamisha kazi zao mkaishia kuwabadilishia ulaji ije kuwa kwa Mpinaπ π π π
RubbishKwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa...
Neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya mambo yake, iwe ya kisiasa, kijamii au kiuchumi.
Haiwezekani utaratibu wa taasisi unaelekeza mambo yafanyike hivi ila wewe unafanya kinyume chake kwa makusudi.
Kwa mfano taasisi x utaratibu wa maisha ya wanachama wake Lazima kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, lakini wewe unaanza kuvaa mguu wa kushoto kwa kujua kabisa ni makosa, lakini kwa jeuri na kiburi cha skio la kufa wewe hujali na unakiuka utaratibu.
Nenda unako enda, kiuka utaratibu, mila desturi na utamaduni wa taasisi hiyo, you will not survive completely...
Kizuri ni kwamba unaweza kua huru na mwenye haki, ukuamua kujiondoa kwa hiari yako na kujiunga na taasisi nyingine ikiwa unahisi hupendezwi na mambo ya kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, hali ya kua wewe unapendelea kuanzia mguu wa kushoto. Toka kwa amani, na uende kwa uhuru tafadhali..
Ni lazima na muhimu sana uendako kuzingatia kanuni, taratibu, miongozo na sheria za taasisi husika, kwa kufanya kazi kama timu moja bila kuathiri misingi ya taasisi yenyewe, mila, desturi na utamaduni wa mtindo wa maisha ya taasisi hiyo.
Vinginevyo huwezi kudumu popote utakako kwendra, kwa kuishi kwa tabia na majivuno yako yenye ujuaji mwingi hali ya kua mbele kiza...
Mwanzo wa mwisho wako CCM uliuanza mwenyewe kwa hasira na chuki za kutemwa barazani, na una uhitimisha mwenyewe kwa kishindo, cha kusingizia watu vitu visivyo na uhakika wowote.
Kwa kukubali kurubuniwa kwa kulamba asali na kuufanya uongo kua kweli, kwa tamaa ya fedha na mali, za wahujumu uchumi, waliokusudia kuhatarisha amani na utulivu wa Taifa, uzalendo wako ni wa mashaka sana.
Na katika muda usio kua mrefu utaondoka ccm, utaondoshwa au utabanduliwa rasmi CCM bila wasi wasi wowote.
Na walio nyuma ya jeuri na kiburi yako hiyo unayoonyesha kwa chama na serikali sikivu ya CCM, watabainishwa bayana na kuanza kutajana rasmi kwa majina yao, moja baada ya mwingine.
Kiufupi huna tena maisha wala uhai wa uanachama CCM. na hata ukiachwa huta kua na furaha wala amani ndani ya chama kwa heshma na ustaarabu ondoka CCM.
Utakapojikuta umeshiwa nguvu na ushawishi kisiasa, ujue sasa ni rasmi uko nje ya CCM, na hizo ndizo miongoni mwa athari utakazo kutana nazo ukiwa upinzani.
Lakini pia, nguvu ya utamu wa sukari ya makampuni ya sukari uliyolambishwa itakapokua imeisha ladha mdomoni kwako, vile vile utaanza kubaini kwamba uzushi unaweza kukusababishia uchungu wewe mwenyewe na kuathiri maisha ya kisiasa [emoji205]
Mungu Ibariki Tanzania
Bora shetani kuliko masisiemu !! Yaani shetani anaombaga ushauri CCMKwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa...
Neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya mambo yake, iwe ya kisiasa, kijamii au kiuchumi.
Haiwezekani utaratibu wa taasisi unaelekeza mambo yafanyike hivi ila wewe unafanya kinyume chake kwa makusudi.
Kwa mfano taasisi x utaratibu wa maisha ya wanachama wake Lazima kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, lakini wewe unaanza kuvaa mguu wa kushoto kwa kujua kabisa ni makosa, lakini kwa jeuri na kiburi cha skio la kufa wewe hujali na unakiuka utaratibu.
Nenda unako enda, kiuka utaratibu, mila desturi na utamaduni wa taasisi hiyo, you will not survive completely...
Kizuri ni kwamba unaweza kua huru na mwenye haki, ukuamua kujiondoa kwa hiari yako na kujiunga na taasisi nyingine ikiwa unahisi hupendezwi na mambo ya kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, hali ya kua wewe unapendelea kuanzia mguu wa kushoto. Toka kwa amani, na uende kwa uhuru tafadhali..
Ni lazima na muhimu sana uendako kuzingatia kanuni, taratibu, miongozo na sheria za taasisi husika, kwa kufanya kazi kama timu moja bila kuathiri misingi ya taasisi yenyewe, mila, desturi na utamaduni wa mtindo wa maisha ya taasisi hiyo.
Vinginevyo huwezi kudumu popote utakako kwendra, kwa kuishi kwa tabia na majivuno yako yenye ujuaji mwingi hali ya kua mbele kiza...
Mwanzo wa mwisho wako CCM uliuanza mwenyewe kwa hasira na chuki za kutemwa barazani, na una uhitimisha mwenyewe kwa kishindo, cha kusingizia watu vitu visivyo na uhakika wowote.
Kwa kukubali kurubuniwa kwa kulamba asali na kuufanya uongo kua kweli, kwa tamaa ya fedha na mali, za wahujumu uchumi, waliokusudia kuhatarisha amani na utulivu wa Taifa, uzalendo wako ni wa mashaka sana.
Na katika muda usio kua mrefu utaondoka ccm, utaondoshwa au utabanduliwa rasmi CCM bila wasi wasi wowote.
Na walio nyuma ya jeuri na kiburi yako hiyo unayoonyesha kwa chama na serikali sikivu ya CCM, watabainishwa bayana na kuanza kutajana rasmi kwa majina yao, moja baada ya mwingine.
Kiufupi huna tena maisha wala uhai wa uanachama CCM. na hata ukiachwa huta kua na furaha wala amani ndani ya chama kwa heshma na ustaarabu ondoka CCM.
Utakapojikuta umeshiwa nguvu na ushawishi kisiasa, ujue sasa ni rasmi uko nje ya CCM, na hizo ndizo miongoni mwa athari utakazo kutana nazo ukiwa upinzani.
Lakini pia, nguvu ya utamu wa sukari ya makampuni ya sukari uliyolambishwa itakapokua imeisha ladha mdomoni kwako, vile vile utaanza kubaini kwamba uzushi unaweza kukusababishia uchungu wewe mwenyewe na kuathiri maisha ya kisiasa π
Mungu Ibariki Tanzania
Yes,Mpina simama na unachokiamini - hutakuwa wa kwanza kutimuliwa CCM ama upokwa Ubunge si mwisho wa maisha.
Mboma kuna watu hawana vyama ila ni Wabunge, TZ hakuna linaloshindikana.
hapana,Sijakuelewa mantiki yako hapa mwisho. Unataka kusema alikuwa anasimamia maslahi binafsi ? Au ulitaka alinde wezi kama ilivyo desturi yenu? muda utasema.....
kwamba ikibainika muungwana kasema uongo, alazimishwe kutafuna maparachichi mabichi, kama inavyoonekana kwenye picha, right?πKwa ushahidi wake alio utoa kila mwananchi kauona , ikithibitika ushahidi una ukweli , hao wahalifu wachukuliwe hatua kali mno iwe funzo kwa yeyote yule.View attachment 3022164
Kwahiyo sio kweli kuwa Stationery na Duka la simu zilipewa vibali vya sukari ?hapana,
ni maslahi mapana ya familia yake nzima, kwa kuufanya na kusema uongo kua ukweli kwa niaba ya makampuni ya sukari yanayomfadhili afanye hivyo π
kuna ubaya gani ikiwa, hizo ni kazi nyingine za ziada za makampuni hayo, na ikiwa yanakidhi vigezo na masharti ya kufanya jukumu la kuagiza mambo mengine iwe ni sukari, mbolea na mambo mengine kama hayo πKwahiyo sio kweli kuwa Stationery na Duka la simu zilipewa vibali vya sukari ?
Kosa lake ni kukuzidi akili ya kuelewa wa mambo na kudadavua. Nendeni na ninyi mkasome shule. Binafsi mimi namkubali natamani hata anifundishe mbinu anazotumia kupata data. Ngoja tuone kama utamshinda. Badala ya kujifunza kwake jinsi ya kudefend alicho kiandika mnawaza kuoneana wivu.Kwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa...