Pre GE2025 Neno langu la mwisho kwa Mbunge mkalia kuti kavu CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
neno la mwisho kwa muungwana..

azingatie misingi, mila, desturi na utamaduni wa taasisi anakokwenda, vinginevyo atabanduliwa kila mahali anapokwenda akiendeleza kiburi, majivuno, ujuaji mwingi kumbe mbele kiza na jeuri yake ya mkizi πŸ’
Hii ni logical fallacy, argument from tradition.

Katika Hegelian dialectic kuna thesis, antithesis na synthesis.

CCM hao hao wanajinadi kuwa Chama Cha Mapinduzi kwa kuelewa kanuni hizi.

Kama chama kilivyo na mifumo yake, na watu nao wana haki za kikatiba za kupewa taarifa.

Kwa hivyo, chama kikiharibu, na ujinga ukitamalaki mpaka juu, mbunge ana haki zote za ku appeal to the public.

Na hata akiondolewa ubunge kwa kuondolewa uanachama, ana nafasi ya kuingia upinzani.

Mbona kina Mrema na Shibuda waliondoka CCM na kuingia upinzani?

Au hata asipokuwa mbunge, anaweza kubaki na heshima yake kama mtu ambaye alikataa ukondoo wa kijinga.

Tatizo lako liko wapi?

Mtu kukosa ubunge? Kwani alizaliwa na ubunge huyo?

Unasema umesoma "Profiles in Courage"? Umekielewa? Umejifunza nini kutoka hicho kitabu?
 
Dah! Chama cha wauwaji kazini. Yoyote msema kweli lazima auwawe kisa tu kulinda utaratibu wa uuwaji
umeongea mambo makubwa na mazito mpaka nimeshindwa kuelewa,

unaweza kua mtulivu kidogo πŸ’
 
Kwamba ufahamu wangu na wako tuuwekee mizani? Mkuu acha basi...hata siasa tu ambayo nadhani ndio unayojua kuliko vyote bado ni empty set tu.
 
nadhani tatizo liko kwako mwenyewe kunisoma na kunielewa neno langu muhimu sana kwa muungwana, labda urudie tena gentleman πŸ’

nimeeleza kwa kirefu kinagaubaga na kushauri mpka akienda huko aendako mathalani kwenye taasisi Fulani aishi namna gani ...

na nimeeleza pia kwamba hiyo inaweza kua fursa nzur zaidi kwake kufanya vizuri zaidi harakati alizoanzisha, gentleman....

si rahisi kwa mtu asie kua na uelewa na ufahamu wa kutosha kujibu kwa kirefu sana replies zaidi ya mia3 kwenye mada zaidi ya4 tofauti, halafu asiwe amesoma na kuelewa sio tu, vitabu vichache ambavyo huenda umesoma na kuvifurahia, wengine ndio maisha na majibu yetu kwa maswali mbalimbali tunayo kutana nayo kwenye platforms mbalimbali πŸ’

nadhani wew bado uko kwenye ile level ya literature zaidi kule form6, ya kuulizana eeh sijui wewe umeelewa nini kutokana na kitabu hiki au kuna ujumbe gani kwenye kitabu hicho n.k πŸ’
 
Kwamba ufahamu wangu na wako tuuwekee mizani? Mkuu acha basi...hata siasa tu ambayo nadhani ndio unayojua kuliko vyote bado ni empty set tu.
unanifurahisha sana mkurugenzi 🀣

nashukuru hata kwa hiyo recognition kidogo umenipatia kwenye siasa πŸ’

hiyo ingine ya empty nitadeal nayo usiku na mchana, mpaka nayo ipate recognition yako muhimu sana,

pamoja na hayo,
itabaki kwenye record kwamba muungwana wa Kisesa ni mpotoshaji mzoefu sana na kwakweli haki yake anayostahili ni kubanduliwa uanachama na kungatiliwa nafasi ya ubunge inayompa kiburi, majivuno, jeuri na majigambo yasiyo na maana πŸ’
 
Miaka 20 bungeni utakatishia kitu gani? In short kanawazidi akili wabunge wote wa ccm
niseme nini mimi gentleman, kwanye viwango na ratings zako za utendaji kwa wabunge wa CCM?πŸ’

rate them as you wish..
 
Hoja hupingwa kwa hoja na si vitoja na vitisho.

Tunaenda wapi Tz, ni taifa kwanza au chama kwanza??
wazushi na waongo wasipewe nafasi ya kujaribu kuchafua hadhi na heshima za viongozi na Taifa kwa ujumla πŸ’
 
We jamaa uzalendo wako kwa nchi hii una walakini!
Watu kama nyie hamlifai kabisa Taifa hili lakini kwa bahati mbaya sana nyie ndo mlioshikilia mpini!
mpini nilioshikilia mimi ni ukweli na uwazi na si vinginevyo gentleman πŸ’

na itakua hivyo daima,
wabuni uzushi na waongo nitawashauri vyema mustakabali wao kisiasa bila mbambamba yoyote πŸ’
 
....Mpina pamoja na madhaifu yake kama binadamu!, katikq hili nasimama nae, Haitaki akili kubwa kuona kwamba Ndugu Bashe Kachukua mlungula na analindwa.
hiyo ni kitu mzuri sana, stay with him,

ila fahamu kwamba uongo, uzushi na upotoshaji wa aina yoyote ile dhidi ya chama, serikali na waandamizi wake haukubaliki na tutakabiliana nao vizuri tu bila tashwishi yoyote πŸ’
 
Jamani huyu kwa picha wamsamehe, labda aliumwa njaa. πŸ₯Ή
dah maparachichi yenyewe yalikua mengi mno alokamatwa nayo, halafu hata hilo moja tu, hata nusu tu kumaliza ilikua ni issue, lakini masela wakamkomalia, si umeiba, haya tafuna sasa umalize hamu yako yote la sivyo tunakuchoma moto 🀣

wizi si mzuri ndugu zangu tufanye kazi halali kwa bidii tafadhali na turidhike na tunachipata πŸ’
 
Hoja yako ya msingi ya kuzingatia misingi, mila, utamaduni na desturi za taasisi ni logical fallacy, argument from tradition.

Unaelewa hilo?
 
Mkuu hapa ndio umepotea kabisa, ni ukweli ishu ya samaki ilileta maneno, ingawaje yeye alisimamia Kanuni za uvuvi zilizokuwa zinaainisha ukubwa wa samaki wanaopaswa kuvuliwa. Tukirudi kwenye hoja, hebu eleza kwa ufasaha ni wapi haswa anadanganya.
 
Mkuu hapa ndio umepotea kabisa, ni ukweli ishu ya samaki ilileta maneno, ingawaje yeye alisimamia Kanuni za uvuvi zilizokuwa zinaainisha ukubwa wa samaki wanaopaswa kuvuliwa. Tukirudi kwenye hoja, hebu eleza kwa ufasaha ni wapi haswa anadanganya.
kwahiyo sheria ilimuelekeza waziri muungwana mzalendo kwamba, akampime samaki fresh, mzima alie hai na alie vuliwa baharini au ziwani,

au sheria ilimuelekeza muungwana atumie rula 🀣samahani kucheka, akampime samaki alie kaangwa na kupoteza shapu, na kurostiwa kwa nazi kabisa au unataka kusemaje mkuu wangu wa kazi, ninae kuheshimu sana mwananchi?πŸ’

kuhusu hoja,
tovuti zote za wizara ya kilimo zina taarifa na takwimu sahihi kwa umma, jinsi wizara ilivyo shughulika na issue hii,
mpotoshaji, muongo na mzushi muungwana wa Kisesa, hizo taarifa na takwimu zake kazitoa wap?

huyo ndie athibishie umma usahihi wa hoja ya msingi ya sakata husika, πŸ’

sina hakika kama umenielewa rafiki πŸ’
 
Hoja yako ya msingi ya kuzingatia misingi, mila, utamaduni na desturi za taasisi ni logical fallacy, argument from tradition.

Unaelewa hilo?
unanieleza ama unanishauri mimi ninachokijua tayari gentleman? 🀣

huo ni ushauri wangu kwa mkalia kuti kavu, mzushi, muongo na mpotoshaji wa Kisesa, au unataka kusemaje mkuu πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…