Neno 'Mhudumu' lasababisha kifo cha mmiliki wa baa

Mkuu kwani kitu kikiwa cha kijistoria wamiliki hawawezi kubadilika?,by the way jamaa alikuwa ndio Manager miaka ya nyumba badae Boss wake alimuuzia na jamaa akainunua kwa malipo ya kidogo kidogo mwishowe alamaliza na kufungua Bar nyingine Sumbawanga.
 
Ndio, mimi kwenye baa yangu nikipata muda huwa naenda kupiga mzigo mwenyewe ili kuwapa morali wafanyakazi, na mtu akiniita mhudumu either kwa makusudi au kukosea huwa natabasamu tu
 
Ndio, mimi kwenye baa yangu nikipata muda huwa naenda kupiga mzigo mwenyewe ili kuwapa morali wafanyakazi, na mtu akiniita mhudumu either kwa makusudi au kukosea huwa natabasamu tu
Safi sana mkuu utafika mbali zaidi, hiyo ndio inatakiwa kwenye biashara. Kuwa humble kwa wateja kwa wafanyakazi wako inaleta raha sana.
 
Inawezekana ni muda wa kuanza kutoa huduma ndo husababisha mtu kupoteza damu.
 
Hata ulaya ipo hivo,
Yan wew uchomwe kisu kipasue maini, kisha kichane Inferior Vena Cava, damu ianze kumwagika humo ndani, tena mwingine baada ya kuchoma akakipitisha mara tatu akachana maini na figo, kisha uje useme unatka kupona,
Kwan mkuu Mungu anakuogopa .?
 
Una ni attack mimi kwani mm ni government? Kesi kama hiyo ikifika pale itakuwa arranged for referral mara nyingi wanao husika kufanya laparatomy ni ma dr bingwa wa upasuaji hao utawakuwa kwenye regional refferal hosp, kumbuka yote hayo yanavyofanyika huyu mtu aliendelea breed fr
Mkuu kwani kitu kikiwa cha kijistoria wamiliki hawawezi kubadilika?,by the way

Mkuu kwani kitu kikiwa cha kijistoria wamiliki hawawezi kubadilika?,by the way jamaa alikuwa ndio Manager miaka ya nyumba badae Boss wake alimuuzia na jamaa akainunua kwa malipo ya kidogo kidogo mwishowe alamaliza na kufungua Bar nyingine Sumbawanga.
Hapo sasa umenifumbua
 
Siyo kuchomwa visu tu...ni karibu kila kitu. Eti upate heart attack hapa au stroke mweh! Kwa wenzetu huko dakika tano ambulance imeshafika huko unakopelekwa emergency room unaikuta tayari tayari wameshaelezwa tatizo ni moja kwa moja kwenye operation. Ukifa basi ni kweli siku zimefika lakini siyo uzembe wa hapo Muhimbili mtu unaweza kukata moto watu wanakuangalia tu. Kwenye suala zima la huduma za afya na elimu sisi bado sana! 🚮
 
Mteja hata akikisea,Kuna lugha zake na namna ya kudili nae,ilis iku nyingine arudi,ndiyo maana ya mteja hakosei,siyo maneno makali,flankiki,ngumu...bado hujui customer care
 
Hospital ya mkoa ipo sehem gani??
 
Maeneo ya tumbo kuna organ muhimu nyingi kama Ini, figo, kongosho, .. hivyo ikitokea kisu kimegusa organ hizo kifo kinamkuta mchomwaji.
Ukiwahishwa hospitali, na wao wakakupasua kuona nini kimeathirika, kuna uwezekano wa kukuponya. Ila kwa Tz hatuna dharura na hatujui haraka. Hapo watu wamehangaika na kumdhibiti mtuhumiwa, na pengine kusubiri mambo ya polisi wasiojali kazi yao, bila ya kumuwahisha hospitali aliyejeruhiwa.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
...🤔🤔🤔..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…