Si kila anaechepuko ni malaya. Saa nyingine unaweza kuwa na mtu pasua kichwa unajikuta mwenyewe unaenda nje kutafuta tulizo la moyo.Lakini yawezekana vipi uwe na Dem na mchepuko pia jamani...,,
Ni kweli Kabisa aiseeSi kila anaechepuko ni malaya. Saa nyingine unaweza kuwa na mtu pasua kichwa unajikuta mwenyewe unaenda nje kutafuta tulizo la moyo.
Ushawahi kupenda pasipopendeka?? Kubaki hutaki ila kuondoka huwezi, hapo ndio unajikuta bora nikatulize maumivu pembeni.
Kuta za nyumba zinaficha mengi mama.
Shukuru Mungu ulikuwa na ujasiri wa kuidai talaka. Kuna sehemu nyingine unajikuta unavunjwa vunjwa moyo mpaka ujasiri wa kujitoa unaukosa.Nimewahi,nidai talaka na kupewa mkuu,naupenda moyo wangu aisee
hasibu uminichekeshaMtu hata ukimwambia nakupenda, anajua tu unamdanganya
ndoa ina utamu wake tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi tuKataa ndoa,ndoa ni maumivu😜
Usemayo ni kweli...lakini mambo yamebadilika si kama zamani....sikuhizi watu especially wanaume wameamua kutunza uhai wao kwa kumwacha mwanamke.mali na kuanza upya....maana tuende mbele turudi nyuma...kuvumilia maumivu ya ndoa nyie hamuwezi ndio maana mnaishia kuuaShukuru Mungu ulikuwa na ujasiri wa kuidai talaka. Kuna sehemu nyingine unajikuta unavunjwa vunjwa moyo mpaka ujasiri wa kujitoa.
Watu huwa wanahisi wanawake ndio wahanga zaidi wa kuumizwa. Lakini mara nyingi wanaume huwa wanakufa na tai shingoni kwa manyanyaso.
Inaweza hata isiwe physical abuse ila unakuta mtu anakuumiza kihisia. Hiyo ni mbaya zaidi. Halafu unakuta kuna mengi yamekuzunguka kiasi cha kushindwa kuondoka. Mwisho wa siku unasikia wanaume wanakufa kuacha wake zao.
Katika kitu ambacho wengi hasa wanaume hatupo tayari kukikubali ni kuwa hakuna mbabe kwenye mapenzi.Usemayo ni kweli...lakini mambo yamebadilika si kama zamani....sikuhizi watu especially wanaume wameamua kutunza uhai wao kwa kumwacha mwanamke.mali na kuanza upya....maana tuende mbele turudi nyuma...kuvumilia maumivu ya ndoa nyie hamuwezi ndio maana mnaishia kuua
Kweli Kabisa Ngurukia ....ila mahusiano bhanaKatika kitu ambacho wengi hasa wanaume hatupo tayari kukikubali ni kuwa hakuna mbabe kwenye mapenzi.
Katika maisha ogopa sana kupenda zaidi ya unavyopendwa, hii inatesa mno.
Halafu kuna tofauti ndogo sana baina ya mazoea na mapenzi. Wengi wanaoteseka katika mapenzi huwa wanadhani wanavumilia sababu wanapenda. Lakini uhalisia huwa wanavumilia sababu ya mazoea ya kuwa na mtu huyo na kutokukubali kuwa mapenzi yamekwisha baina yenu.
Mbaya zaidi kuna wenza wengine wanadhamiria kukuumiza tu pale mapenzi yanapokwisha. Unaweza amua kumuachia mtu kila kitu uanze upya lakini bado akafanya kila jitihada ushindwe kuanza upya.
Ukiona mtu kaua ujue kavumilia mengi mno na ukimuona mtu kaweza hasa kuanza upya (hongera kwako) basi ujue kapigana na vingi.