Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Lakini yawezekana vipi uwe na Dem na mchepuko pia jamani...,,
Si kila anaechepuko ni malaya. Saa nyingine unaweza kuwa na mtu pasua kichwa unajikuta mwenyewe unaenda nje kutafuta tulizo la moyo.

Ushawahi kupenda pasipopendeka?? Kubaki hutaki ila kuondoka huwezi, hapo ndio unajikuta bora nikatulize maumivu pembeni.
Kuta za nyumba zinaficha mengi mama.
 
Ni kweli Kabisa aisee
 
Nimewahi,nidai talaka na kupewa mkuu,naupenda moyo wangu aisee
Shukuru Mungu ulikuwa na ujasiri wa kuidai talaka. Kuna sehemu nyingine unajikuta unavunjwa vunjwa moyo mpaka ujasiri wa kujitoa unaukosa.

Watu huwa wanahisi wanawake ndio wahanga zaidi wa kuumizwa. Lakini mara nyingi wanaume huwa wanakufa na tai shingoni kwa manyanyaso.

Inaweza hata isiwe physical abuse ila unakuta mtu anakuumiza kihisia. Hiyo ni mbaya zaidi. Halafu unakuta kuna mengi yamekuzunguka kiasi cha kushindwa kuondoka. Mwisho wa siku unasikia wanaume wanakufa kuacha wake zao.
 
Shukuru Mungu ulikuwa na ujasiri wa kuidai talaka. Kuna sehemu nyingine unajikuta unavunjwa vunjwa moyo mpaka ujasiri wa kujitoa.

Watu huwa wanahisi wanawake ndio wahanga zaidi wa kuumizwa. Lakini mara nyingi wanaume huwa wanakufa na tai shingoni kwa manyanyaso.

Inaweza hata isiwe physical abuse ila unakuta mtu anakuumiza kihisia. Hiyo ni mbaya zaidi. Halafu unakuta kuna mengi yamekuzunguka kiasi cha kushindwa kuondoka. Mwisho wa siku unasikia wanaume wanakufa kuacha wake zao.
Usemayo ni kweli...lakini mambo yamebadilika si kama zamani....sikuhizi watu especially wanaume wameamua kutunza uhai wao kwa kumwacha mwanamke.mali na kuanza upya....maana tuende mbele turudi nyuma...kuvumilia maumivu ya ndoa nyie hamuwezi ndio maana mnaishia kuua
 
Katika kitu ambacho wengi hasa wanaume hatupo tayari kukikubali ni kuwa hakuna mbabe kwenye mapenzi.

Katika maisha ogopa sana kupenda zaidi ya unavyopendwa, hii inatesa mno.

Halafu kuna tofauti ndogo sana baina ya mazoea na mapenzi. Wengi wanaoteseka katika mapenzi huwa wanadhani wanavumilia sababu wanapenda. Lakini uhalisia huwa wanavumilia sababu ya mazoea ya kuwa na mtu huyo na kutokukubali kuwa mapenzi yamekwisha baina yenu.

Mbaya zaidi kuna wenza wengine wanadhamiria kukuumiza tu pale mapenzi yanapokwisha. Unaweza amua kumuachia mtu kila kitu uanze upya lakini bado akafanya kila jitihada ushindwe kuanza upya.

Ukiona mtu kaua ujue kavumilia mengi mno na ukimuona mtu kaweza hasa kuanza upya (hongera kwako) basi ujue kapigana na vingi.
 
Ckuiz hakuna mapenzi ya Kweli ndo maana ukimwambia mtu unampenda lazima ashtuke kwanza
 
Katika kitu ambacho wengi hasa wanaume hatupo tayari kukikubali ni kuwa hakuna mbabe kwenye mapenzi.

Katika maisha ogopa sana kupenda zaidi ya unavyopendwa, hii inatesa mno.

Halafu kuna tofauti ndogo sana baina ya mazoea na mapenzi. Wengi wanaoteseka katika mapenzi huwa wanadhani wanavumilia sababu wanapenda. Lakini uhalisia huwa wanavumilia sababu ya mazoea ya kuwa na mtu huyo na kutokukubali kuwa mapenzi yamekwisha baina yenu.

Mbaya zaidi kuna wenza wengine wanadhamiria kukuumiza tu pale mapenzi yanapokwisha. Unaweza amua kumuachia mtu kila kitu uanze upya lakini bado akafanya kila jitihada ushindwe kuanza upya.

Ukiona mtu kaua ujue kavumilia mengi mno na ukimuona mtu kaweza hasa kuanza upya (hongera kwako) basi ujue kapigana na vingi.
Kweli Kabisa Ngurukia ....ila mahusiano bhana
 
Ukifikia hatua katika maisha ukaweza kuwa mbinafsi kiasi cha kujipenda wewe mwenyewe zaidi ya kitu ama mtu mwingine yeyote yule basi elewa umefuzu mtihani mkubwa mno.
So what we gonna do?!☹️
 
Back
Top Bottom