Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Si kila anaechepuko ni malaya. Saa nyingine unaweza kuwa na mtu pasua kichwa unajikuta mwenyewe unaenda nje kutafuta tulizo la moyo.Lakini yawezekana vipi uwe na Dem na mchepuko pia jamani...,,
Ushawahi kupenda pasipopendeka?? Kubaki hutaki ila kuondoka huwezi, hapo ndio unajikuta bora nikatulize maumivu pembeni.
Kuta za nyumba zinaficha mengi mama.