Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Mumy To yeye sijui unazungumzia mahusiano ya aina gani hapa?

Sisi wa kufa na kuzikana ambao tuna miaka nenda rudi tumeshajizowelea na huwa sioni kama akiandika hilo neno kuna kaunafiki ndani kwangu naamini anamaanisha na bila shaka kwa upande wake ni vivyo hivyo.
 
Sometime hata asiposema wewe mwandikie tu "me too" uone mrejesho wake 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…