Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Mumy To yeye sijui unazungumzia mahusiano ya aina gani hapa?

Sisi wa kufa na kuzikana ambao tuna miaka nenda rudi tumeshajizowelea na huwa sioni kama akiandika hilo neno kuna kaunafiki ndani kwangu naamini anamaanisha na bila shaka kwa upande wake ni vivyo hivyo.
 
Kwangu hilo ndilo neno ninalopenda kumwambia zaidi kaka mzuri wangu, siwezi kumtumia texts tatu bila kumwambia nampenda.
Same kwake, umegeuka utaratibu wetu na kiukweli ndilo neno napenda kusikia kutoka kwake.

Nyie wenzetu vipi? Asiponiambia ananipenda sina raha.
Sometime hata asiposema wewe mwandikie tu "me too" uone mrejesho wake 😄
 
Back
Top Bottom