Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Aisee,mapenzi bhana....kuna mtu anakuja maishani mwako kupumzika tu then aendelee na safari....haijalishi mmeoana au la
Kuwa tayari kwa chochote muda wowote hayatokusumbua. Tatizo linaanzia pale utakapoanza kusema uwezi kuishi bila yeye.
 
Mtaani anagaragara na hali siku 3 kwaajili ya mapenzi
Kuna ndugu yangu ukikaa nae anamkandia sana baba mtoto wake kuwa hataki hata kumsikia ila akitoka hapo anaenda kutuma magazeti ya kutosha na kujiliza. Huwa nikimuangalia nacheka sana.
 
Back
Top Bottom