Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hii ni kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kweli?
Huwa sina tabia ya kumdanganya nimpendae kwa dhati sipendi kuumiza hisia zake.Wee,sema kweli babe? Ngoja nianze Kujifunza kuvaa hijab 😘😘😍
Kuwa tayari kwa chochote muda wowote hayatokusumbua. Tatizo linaanzia pale utakapoanza kusema uwezi kuishi bila yeye.Aisee,mapenzi bhana....kuna mtu anakuja maishani mwako kupumzika tu then aendelee na safari....haijalishi mmeoana au la
Eee ndio 😃🤣😂 ulitaka nibaki kulekule
Mtaani anagaragara na hali siku 3 kwaajili ya mapenziKila mtu ni mwamba ila huko mtaani yanatubamiza vibaya mno
Hakuna shida ngoja nirudi 😂Eee ndio 😃🤣
How?Kuna ukweli.
Kuna ndugu yangu ukikaa nae anamkandia sana baba mtoto wake kuwa hataki hata kumsikia ila akitoka hapo anaenda kutuma magazeti ya kutosha na kujiliza. Huwa nikimuangalia nacheka sana.Mtaani anagaragara na hali siku 3 kwaajili ya mapenzi
Tuwowane madam 😚😂🤣unataka nikufanyeje
Sawasawa 👊👊Hakuna shida ngoja nirudi 😂
Na mwezi huu mtoto wamtu ajichanganye kuzungumzia hilo neno yaani unaona kaunafki flani hivi🤣🤣🤣🤣sana yaan....kimchongo mno
🚣♂Sawasawa 👊👊