Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Ukiyachukulia serious sana mambo ya humu ndio utaona ni matatizo. Kinyume na hapo ni kupuuza na maisha yanaendelea.Ha ha ha,huwezi zoea matatizo aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiyachukulia serious sana mambo ya humu ndio utaona ni matatizo. Kinyume na hapo ni kupuuza na maisha yanaendelea.Ha ha ha,huwezi zoea matatizo aisee
Kuna mijitu ina stress za maisha yao huko huwa inaamua kuja humu kuudhi wengine tu.Ndicho nilichojifunza pia aisee....unapita kama hujaona
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mnajikuta mmekwazana mara 2 mbiliKuna mijitu ina stress za maisha yao huko huwa inaamua kuja humu kuudhi wengine tu.
Sasa watu wenyewe wote tupo kinadharia humu halafu uanze kuchukulia mambo serious, si ndio mwanzo wa uchizi huo.
Hii mi id feki unaweza jikuta unaudhiana na mchepuko halafu anakuja humu kumalizia hasira zake anaishia kukuudhi tena kwa mara ya pili bila kujua😂😂
Tena bila kujua. Kama mpo kitanda kimojo kila mtu kageukia upande wake na simu yake anasonya tu. Kumbe ugomvi wenu unaendelea JF bila kujua😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mnajikuta mmekwazana mara 2 mbili
YEEEESWill you marry me?🥴
🤣🤣🤣🤣🤣 ila we Ngurukia ...umejua kunivunja mbavu🙌🏿 ....,ee bhana haya mambo Kama watu wanajikuta wanatongozana mara mbilimbili kwa I’d tofauti...,mengine Hayatoshindikana Kabisa 🤓Tena bila kujua. Kama mpo kitanda kimojo kila mtu kageukia upande wake na simu yake anasonya tu. Kumbe ugomvi wenu unaendelea JF bila kujua😂😂
Kabisa. Unaweza kuta demu wako na mchepuko wako ni mtu mmoja huyo huyo😂😂😳🤣🤣🤣🤣🤣 ila we Ngurukia ...umejua kunivunja mbavu🙌🏿 ....,ee bhana haya mambo Kama watu wanajikuta wanatongozana mara mbilimbili kwa I’d tofauti...,mengine Hayatoshindikana Kabisa 🤓
tayari niko na mshenga hapa tunayapanga. 🤣Hii imeenda aisee🤓