Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Ndicho nilichojifunza pia aisee....unapita kama hujaona
Kuna mijitu ina stress za maisha yao huko huwa inaamua kuja humu kuudhi wengine tu.
Sasa watu wenyewe wote tupo kinadharia humu halafu uanze kuchukulia mambo serious, si ndio mwanzo wa uchizi huo.

Hii mi id feki unaweza jikuta unaudhiana na mchepuko halafu anakuja humu kumalizia hasira zake anaishia kukuudhi tena kwa mara ya pili bila kujua😂😂
 
Inawezekana kweli limeexpire.

Kuna demu nilimuandikalia ujumbe nikamalizia na neno nakupenda.

Hata hakuangaika kunijibu.
 
Kuna mijitu ina stress za maisha yao huko huwa inaamua kuja humu kuudhi wengine tu.
Sasa watu wenyewe wote tupo kinadharia humu halafu uanze kuchukulia mambo serious, si ndio mwanzo wa uchizi huo.

Hii mi id feki unaweza jikuta unaudhiana na mchepuko halafu anakuja humu kumalizia hasira zake anaishia kukuudhi tena kwa mara ya pili bila kujua😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mnajikuta mmekwazana mara 2 mbili
 
Tena bila kujua. Kama mpo kitanda kimojo kila mtu kageukia upande wake na simu yake anasonya tu. Kumbe ugomvi wenu unaendelea JF bila kujua😂😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣 ila we Ngurukia ...umejua kunivunja mbavu🙌🏿 ....,ee bhana haya mambo Kama watu wanajikuta wanatongozana mara mbilimbili kwa I’d tofauti...,mengine Hayatoshindikana Kabisa 🤓
 
Kabisa. Unaweza kuta demu wako na mchepuko wako ni mtu mmoja huyo huyo😂😂😳
 
Back
Top Bottom