Comprehension bila shaka...kama Compression ipo naomba kusahihishwa.Dah! Haya mambo ndo yalisababisha nipate Kiswahili "C" haya!
Ya-wa tena?!
Ashukuriwe ambae alileta mambo ya kusoma vitabu na kwenda kutirika kwenye paper manake hadi namaliza Form IV, ilikuwa nikishasoma compression na kujibu maswali, kisha nikienda kwenye Fasihi, nikimaliza tu; huyoooo, nasepa zangu na mambo sijui ya tungo changamano sijui nyambulisha Kiima na Kiarifu, sijui mofimu (hivi ndo kinini hiki?!) nawaachia wenyewe coz' always hizo parts 2 zilikuwa zinanihakikishia C!!
Chifu sikuwahi kuwa vizuri kwenye sarufi ya Kiswahili, na hii ilikuwa na mchango mkubwa sana wa kufanya ufaulu mzuri wa Kiswahili Kiswahili kuwa ni msamiati kwangu, manake maswali yake, hususani baada ya kufika Kidato cha III, ikawa sipotezi muda hata kuyaangalia tu!!uko vizuri mkuuu Mbona
Itakuwa ndo hivyo hivyo unavyosema tu, manake tangia ni-graduate darasa al 12, sikumbuki kupata kulitumia tena hilo neno popote pale maishani mwangu!!!!Comprehension bila shaka...kama Compression ipo naomba kusahihishwa.
Mfano uliotoa hausadifu. Hata kama ni mbadala lakini muhusika amehitaji ngeli husika na sio ngeli mbadala.Mkuu ngeli ya Yu hutumika kama mbadala wa ngeli ya A kwenye baadhi ya sentensi... mfano Yuaja
Chief habari!Comprehension bila shaka...kama Compression ipo naomba kusahihishwa.
Kwa huu mfano uliotoa unaweza kuonesha ulipo mzizi wa neno hilo ulilotumia kuweka hicho kiambishi ulichotumia ngeli ya YU - A WA?nimevuta picha nimesahau nikitambo sanaa ila ngoja niwekee hii akija mtu anaielewa Ngeli ya Yu atanisahisha
Mfano
Umoja.. Samaki yupo
wingi ..samaki wapo
Mkuu nimetaja jina la ngeli full... ila A- Wa ndo ngeli maarufu ila nilifundishwa kuwa kuna mda ngeli ya a inaweza isikubali...ko kama likitokea hilo ngeli yu huwa mbadala...Mfano uliotoa hausadifu. Hata kama ni mbadala lakini muhusika amehitaji ngeli husika na sio ngeli mbadala.
sarufi ni ngumu sanaaaπ ashukiliwe Ngoswe,joti,takadini, Peter,zita,kulwa,mama ntilie na wengine kwa kutuepusha na F za kiswahiliChifu sikuwahi kuwa vizuri kwenye sarufi ya Kiswahili, na hii ilikuwa na mchango mkubwa sana wa kufanya hata "A" ya Kiswahili kuwa ni msamiati kwangu, manake maswali yake, hususani baada ya kufika Kidato cha III, ikawa sipotezi muda hata kuyaangalia tu!!
hakuna mzizi na mfano sio official .. Ndiyo maan nimeomba anayeikumbuka vizuri anisaidie kama atakuwepo .... nitumie mfano yuaja kutetea ngeli ya YuKwa huu mfano uliotoa unaweza kuonesha ulipo mzizi wa neno hilo ulilotumia kuweka hicho kiambishi ulichotumia ngeli ya YU - A WA?
Kwasababu ngeli huendana na kitenzi.
Chief kwenye ngeli hunidanganyi kitu, kila ngeli na matumizi yale kwenye sarufi, kuna ngeli ya:Mkuu nimetaja jina la ngeli full... ila A- Wa ndo ngeli maarufu ila nilifundishwa kuwa kuna mda ngeli ya a inaweza isikubali...ko kama likitokea hilo ngeli yu huwa mbadala...
nazan nimeeleweka sasa
π shukran Mkuu nimekuelewa.....naomba ufafanuzi kwenye ngeli ya pili mfano wakeChief kwenye ngeli hunidanganyi kitu, kila ngeli na matumizi yale kwenye sarufi, kuna ngeli ya:
A - wa
Yu - a - wa
Ki - vi
I - zi
U - zi na
U - i - zi
Katu usibadilishe matumizi ya ngeli ya Yu a wa kwa kuona tu yanafanana na awa kuna sehemu tu utakwama kwasababu ngeli hutumika kwenye vitenzi vinginevyo utakwama.
Chifu unakwama wapi, kuna ngeli huwa hazikubali kwa viumbe nje ya binadamu. Na ndio maana hata maiti ina ngeli yake japokuwa ni ya binadamu.hakuna mzizi na mfano sio official .. Ndiyo maan nimeomba anayeikumbuka vizuri anisaidie kama atakuwepo .... nitumie mfano yuaja kutetea ngeli ya Yu
Mkuu nimekusoma lakini lengo ni kujifunza jibu ni A-wa Sawaaa ila nilikumbuka ngeli ya Yu-A-Wa niliisoma pia... nikaomba mwenye uelewa Zaid anifungue hapo maana me ninachokielewa sina hakika kama niko sahihi...Chifu unakwama wapi, kuna ngeli huwa hazikubali kwa viumbe nje ya binadamu. Na ndio maana hata maiti ina ngeli yake japokuwa ni ya binadamu.
Mtoa mada ametaka ngeli ya Samaki. Jibu samaki ngeli yake ni A -WA.
Chief, ni hivi ngeli ya YU - A - WA matumizi yake huwa na mbadala yaani isipotumika YU kwenye umoja basi itatumika A, lakini kwenye wingi ndio itatumika WA.Mkuu nimekusoma lakini lengo ni kujifunza jibu ni A-wa Sawaaa ila nilikumbuka ngeli ya Yu-A-Wa niliisoma pia... nikaomba mwenye uelewa Zaid anifungue hapo maana me ninachokielewa sina hakika kama niko sahihi...
nimekupata mkuuππππChief, ni hivi ngeli ya YU - A - WA matumizi yake huwa na mbadala yaani isipotumika YU kwenye umoja basi itatumika A, lakini kwenye wingi ndio itatumika WA.
Mfano:
Mtoto yualishwa
Mwalimu yuafundisha
Mzee yuazeeka
Hii ngeli ya YU - A - WA ipo kilahaja zaidi na sio kiswahili sanifu kwani si katika hali ya kawaida kumkuta mtu anatumia neno yualishwa, yualia, yuafundisha au yuanakula badala ya kutumia analishwa, analia, anafundisha, anakula.
Kwa Tanzania baadhi ya maeneo ya mwambao pamoja na maeneo ya Visiwa vya Zanzibar, sana sana kisiwani Pemba ndio inatumika lahaja hiyo (lafudhi).
kabisaa πMtoa mada [emoji120] sana, leo umesababisha nimekumbuka hadi ngeli nyingi sana, ikiwemo
LI - YA
PA-MU-KU
U - YA
U - ZI
I - ZI
Ngeli ya PA - MU - KU.Mkuu nikumbishe hiyo ya PA-MU-KU