Neno 'Samaki' lipo kwenye ngeli gani?

Kiswahili hiki ni kazi sana.

Ni bora kiingereza, simple tu umeshaelewa.

'yualishwa'.
 
Kiswahili hiki ni kazi sana.

Ni bora kiingereza, simple tu umeshaelewa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Nikiangalia hayo maeleozo ya Don Juan najiuliza B ya Kiswahili niliipataje pataje
Mi nina F kabisa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Mi nina F kabisa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Hahahaha haiwezekani mimi hata sikumbuki hizo ngeli ni nini mpaka mlipoanza kuzitaja yani kiswahili nilikua najionea mazigazi tu. Kwa kifupi nikijitathmini naona hakuna somo ambalo nilikua naliweza. Unga unga mwana mpaka tumetoboa basi[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hata hivyo hongera, mi nilichukua masomo ya Sayansi yakanipiga chini, ila sio mweupe kichwani. Kiswahili kilikuja kunipiga chenga kilipoanza mambo ya Vishazi, Virai [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
[emoji1][emoji1]
 
[emoji1][emoji1]
Unavijua vishazi na virai? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Safi sana,nimekuelewa,umenirudisha darasani
 
Unavijua vishazi na virai? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Hahahahahaha kishazi huru kishazi tegemezi, ila sikumbuki ndio wadudu gani hawa [emoji1][emoji1]
 
Mimi ukiuliza swali la kiswahili nashindwa ila hilohilo swali ukiuliza kwa kingereza nafumua. Eg, ukiuliza aina za maneno hata sijui..ila uliza kwa english sasa.
How many parts of speech are there? Mention them.
 
Sio mbaya tuje kwenye English napo.
Mimi kama nilivyosema awali masomo yote kwangu ni gusagusa band hahahahha ingawa niliifaulu vizuri tu. Na vile chuo sikusoma chochote vya shule ndio kabisa siwezi kuyakumbuka kabisa
 
Mimi kama nilivyosema awali masomo yote kwangu ni gusagusa band hahahahha ingawa niliifaulu vizuri tu. Na vile chuo sikusoma chochote vya shule ndio kabisa siwezi kuyakumbuka kabisa
Ulimaliza mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…