Netanyahu aiambia UN hakunaga wa kulitishia Nyau Israel hapa Duniani, Waarabu watoka ukumbini kabla ya Hotuba!

Waarabu wapuuzi kweli. Walikwenda kusikiliza kwa kina kile kilichosemwa na Natanyau wakiwa nje ya ukumbi. Mwili upo nje akili zipo ndani
 
Taifa teule,
 
Waarabu hawana akili. Wangekaa na kumsikiliza ili wajue jinsi ya kujipanga na atakayosema.
Sasa waarabu Ni Kama mjinga mmoja aliyeko mafichoni, hamuoni adui anachoongea.
Siku zote hakikisha unajua adui yako anaongea nini!?
 
Uliiwaona wakitoka ni Waarsbu tu? Waarabu wa nvhi ipi hao walio zaidi ya robo tatu ya ukumbi wa UN?

Nyau alihutubia maruhani.
 
Leo Netanyahoo kajificha kwenye mapango anajinyea TU kumbe yupo uchi🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…