GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Hawamtaki vipi wakati mpaka wasaudi wanampa alkasusHamna chochote cha maana alichoongea kwa mtu mwenye akili ndio maana hata huko israel hawamtaki tena ,amekuwa liability kwa israel
Hii laana iwakute wasaudi kwanzaKuwatukana Mitume wa Allah ni jambo la kawaida kwenu nyinyi pamoja na ndugu zenu waliolaaniwa mayahudi. Ibrahim (Amani iwe juu yake) hakuwa mzinifu. Mna midomo michafu mno mnapowazungumza Mitume wa Allah.
Allah awahishe kuangamia kwa ndugu zenu. Watu wa kutanga tanga na kuhangaika kwa sababu ya laana yao. Hawakai sehemu ila wataleta balaa kwa waliowakaribisha na kuwahifadhi.
Kwa hiyo Hair hakuwa mchepuko wa Ibrahim?Kuwatukana Mitume wa Allah ni jambo la kawaida kwenu nyinyi pamoja na ndugu zenu waliolaaniwa mayahudi. Ibrahim (Amani iwe juu yake) hakuwa mzinifu. Mna midomo michafu mno mnapowazungumza Mitume wa Allah.
Allah awahishe kuangamia kwa ndugu zenu. Watu wa kutanga tanga na kuhangaika kwa sababu ya laana yao. Hawakai sehemu ila wataleta balaa kwa waliowakaribisha na kuwahifadhi.
INA ma ana wasaud hawataki ten a Mabikra 70?Kwa hiyo Hair hakuwa mchepuko wa Ibrahim?
Wanaoamini ktk kristo wakilitaja jina lake kwa imani majini (yale mnayosema ndugu zenu) huwa yanaungua moto, ila jina la mohamed wala majini hayaliogopi. Siku ukielewa hilo jambo utajua kwa nini mnadanganywaKuwatukana Mitume wa Allah ni jambo la kawaida kwenu nyinyi pamoja na ndugu zenu waliolaaniwa mayahudi. Ibrahim (Amani iwe juu yake) hakuwa mzinifu. Mna midomo michafu mno mnapowazungumza Mitume wa Allah.
Allah awahishe kuangamia kwa ndugu zenu. Watu wa kutanga tanga na kuhangaika kwa sababu ya laana yao. Hawakai sehemu ila wataleta balaa kwa waliowakaribisha na kuwahifadhi.
Abraham alizini. Usilembe maneno. Abraham alizini na house girl wake. Hilo sio tusiKuwatukana Mitume wa Allah ni jambo la kawaida kwenu nyinyi pamoja na ndugu zenu waliolaaniwa mayahudi. Ibrahim (Amani iwe juu yake) hakuwa mzinifu. Mna midomo michafu mno mnapowazungumza Mitume wa Allah.
Allah awahishe kuangamia kwa ndugu zenu. Watu wa kutanga tanga na kuhangaika kwa sababu ya laana yao. Hawakai sehemu ila wataleta balaa kwa waliowakaribisha na kuwahifadhi.
Kuna wengine sasa wanadai hata Ulaya ni yao. Ajabu sanaAnasema, Ardhi hii ilikuwa yetu na Milele Daima, itakuwa yetu !!.
Salaam alaikum, Kichapo kitaendelea tu, hamna namna !!.
View attachment 3058477
Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO ALIYEUMBA DUNIA.
Mtu mzungu ana asili ya Poland, anaitwa Benjamin Mileikowsky ambaye wazee wake walikimbia Poland kukimbia mateso (sio kutoka kwa Waislam) anadai ardhi ya Shaam ni kwao?
Uyahudi ni dini,baba yake netanyahu bwana benzion mikeloisky ni mpoland,jina netanyahu akajipa baada ya kulowea Palestine,unaweza kuwa myahudi lakini huwezi kuwa muisrael,Kama wao wanavyodai race ya Jericho,mji ulio na umri wa zaidi ya miaka 10000 kuwa imekuwa distinct,ndivyo na waisraeli walivyo distinct,baada ya kutawaliwa na wengi,kukimbia na kuoana na wengineWayahudi OG wako Wapi?
Wayahudi OG wako Wapi?
Wako wapi sasa wayahudi original?Hao waturuki na ulaya mashariki, ndiyo maana hawezi pima DNA
Na mimi naunga mkono songa mbele Mungu yupo pamoja na Israel.Anasema, Ardhi hii ilikuwa yetu na Milele Daima, itakuwa yetu !!.
Salaam alaikum, Kichapo kitaendelea tu, hamna namna !!.
View attachment 3058477
Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO ALIYEUMBA DUNIA.
Uyahudi ni dini,baba yake netanyahu bwana benzion mikeloisky ni mpoland,jina netanyahu akajipa baada ya kulowea Palestine,unaweza kuwa myahudi lakini huwezi kuwa muisrael,Kama wao wanavyodai race ya Jericho,mji ulio na umri wa zaidi ya miaka 10000 kuwa imekuwa distinct,ndivyo na waisraeli walivyo distinct,baada ya kutawaliwa na wengi,kukimbia na kuoana na wengine
Wewe mjinga, mnapokuwa washirikina kwa kumuomba asiyekuwa Allah ndio mashetani wanafurahi kwa sababu wanawapoteza. Ndio maana wanawacheza shere, hivyo nyinyi ndio mnadanganywa.Wanaoamini ktk kristo wakilitaja jina lake kwa imani majini (yale mnayosema ndugu zenu) huwa yanaungua moto, ila jina la mohamed wala majini hayaliogopi. Siku ukielewa hilo jambo utajua kwa nini mnadanganywa
Bibi Hajira alikuwa ni mke wa Nabii Ibrahim (Amani iwe juu yake). Alimzaa Nabii Isma'il (Amani iwe juu yake). Mke wa kwanza Nabii Ibrahim ni Bibi Sara aliyemzaa Nabii Is-haq (Amani iwe juu yao).Kwa hiyo Hair hakuwa mchepuko wa Ibrahim?
netanyahu ana akili nyingi sana. anaijua sana Biblia, na ukiona anaquote hiyo mistari na historia ujue anaomba support toka kwa wakristo na mataifa yote ya wakristo. hata kule kwenye christians united for Israel yupo sana. shida inakuja, wao sio wakristo, na wanawachukia wakristo sawa tu na wanavyowachukia wapagani. isipokuwa, kwetu sisi warksto, tumeelekezwa na Mungu kuwapenda na kuwasaidia, hivyo sisi huwa tunamtii Mungu isingekuwa hivyo hao jamaa wangekuwa maadui wetu wakubwa sana.Anasema, Ardhi hii ilikuwa yetu na Milele Daima, itakuwa yetu !!.
Salaam alaikum, Kichapo kitaendelea tu, hamna namna !!.
View attachment 3058477
Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO ALIYEUMBA DUNIA.
Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO ALIYEUMBA DUNIA.
Kimsingi walitawanyika kila pahala hapa duniani....nakumbuka baadhi nilikunywa nao ulanzi pale Ifunda.Kwanini kipindi wa wanawatafutia jews pahala pakuishi walifikiria kuwaleta East Africa.?
Na si kwingine?