Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

Kuwatukana Mitume wa Allah ni jambo la kawaida kwenu nyinyi pamoja na ndugu zenu waliolaaniwa mayahudi. Ibrahim (Amani iwe juu yake) hakuwa mzinifu. Mna midomo michafu mno mnapowazungumza Mitume wa Allah.

Allah awahishe kuangamia kwa ndugu zenu. Watu wa kutanga tanga na kuhangaika kwa sababu ya laana yao. Hawakai sehemu ila wataleta balaa kwa waliowakaribisha na kuwahifadhi.
Hii laana iwakute wasaudi kwanza

View: https://x.com/Osint613/status/1818954587186909187?t=c_uOKAqssLa15cbld6dkzw&s=19
 
Kuwatukana Mitume wa Allah ni jambo la kawaida kwenu nyinyi pamoja na ndugu zenu waliolaaniwa mayahudi. Ibrahim (Amani iwe juu yake) hakuwa mzinifu. Mna midomo michafu mno mnapowazungumza Mitume wa Allah.

Allah awahishe kuangamia kwa ndugu zenu. Watu wa kutanga tanga na kuhangaika kwa sababu ya laana yao. Hawakai sehemu ila wataleta balaa kwa waliowakaribisha na kuwahifadhi.
Kwa hiyo Hair hakuwa mchepuko wa Ibrahim?
 
Wanaoamini ktk kristo wakilitaja jina lake kwa imani majini (yale mnayosema ndugu zenu) huwa yanaungua moto, ila jina la mohamed wala majini hayaliogopi. Siku ukielewa hilo jambo utajua kwa nini mnadanganywa
 
Abraham alizini. Usilembe maneno. Abraham alizini na house girl wake. Hilo sio tusi
 
Mtu mzungu ana asili ya Poland, anaitwa Benjamin Mileikowsky ambaye wazee wake walikimbia Poland kukimbia mateso (sio kutoka kwa Waislam) anadai ardhi ya Shaam ni kwao?

Hivi kwa nini hujiulizi hawa kina netanyahu kwa nini wastake kuishi miji yenye maraha kama Paris,Zurich,London new york why wakimbilie hapo jagwani mie nasema hapo ni kwao na huo ndo uzao wa Ibrahim Jacob na isaka period.
 
Wayahudi OG wako Wapi?
Uyahudi ni dini,baba yake netanyahu bwana benzion mikeloisky ni mpoland,jina netanyahu akajipa baada ya kulowea Palestine,unaweza kuwa myahudi lakini huwezi kuwa muisrael,Kama wao wanavyodai race ya Jericho,mji ulio na umri wa zaidi ya miaka 10000 kuwa imekuwa distinct,ndivyo na waisraeli walivyo distinct,baada ya kutawaliwa na wengi,kukimbia na kuoana na wengine

Uyahudi ni Dini na hapohapo NI utaifa
 
Wanaoamini ktk kristo wakilitaja jina lake kwa imani majini (yale mnayosema ndugu zenu) huwa yanaungua moto, ila jina la mohamed wala majini hayaliogopi. Siku ukielewa hilo jambo utajua kwa nini mnadanganywa
Wewe mjinga, mnapokuwa washirikina kwa kumuomba asiyekuwa Allah ndio mashetani wanafurahi kwa sababu wanawapoteza. Ndio maana wanawacheza shere, hivyo nyinyi ndio mnadanganywa.

Halafu sisi hatumuombi Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake), tunamuomba Allah. Na tunajikinga kwake peke yake atuepushe na mashetani na tunamuomba Yeye tu Allah atuondolee mashetani.
 
Kwa hiyo Hair hakuwa mchepuko wa Ibrahim?
Bibi Hajira alikuwa ni mke wa Nabii Ibrahim (Amani iwe juu yake). Alimzaa Nabii Isma'il (Amani iwe juu yake). Mke wa kwanza Nabii Ibrahim ni Bibi Sara aliyemzaa Nabii Is-haq (Amani iwe juu yao).

Isma'il na Is-haq (Amani iwe juu yao) walikuwa ni ndugu na walikuwa ni manabii wa Allah. Hawakuwa na ugomvi wala uhasama. Dini yao ilikuwa ni Dini ile ile ya Baba yao, Nabii Ibrahim (Amani iwe juu yake) ambaye hakuwa yahudi wala mkristo, bali alikuwa ni Mwenye kumpwekesha Allah peke yake, hali ya kuwa ni mwenye kuepuka mila zote, Muislam.

Nabii Is-haq (Amani iwe juu yake) alikuwa na mtoto ambaye ni Nabii pia Ya'aqub au Israil (Amani iwe juu yake) naye alikuwa katika Dini ile ile waliyoifuata wazee wake na wala hakuwa yahudi wala mkristo. Na Dini hiyo ndio aliyowaachia kizazi chake (wana wa Israil).

Nabii Isma'il (Amani iwe juu yake) ndio katika kizazi chake akaja kutokea Mtume wa mwisho Nabii Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake). Aliyeifikisha Dini iliyofuatwa na ndugu zake katika Mitume waliotangulia.

Uyahudi ni dini iliyokuja baadae, kizazi cha wana wa Israil walipoacha njia ya Ibrahim, Is-haq, Ya'aqub na watoto wake, Musa, Harun, Dawud, na Sulayman. Watu wakajitungia dini yao ya uyahudi. Bado Allah alipeleka kwao Mitume kuwarudisha katika Dini walioifuata wazee wao, Uislam. Wakawapinga na wengine wakawaua.

Amani iwe juu ya Mitume wote.
 
Anasema, Ardhi hii ilikuwa yetu na Milele Daima, itakuwa yetu !!.

Salaam alaikum, Kichapo kitaendelea tu, hamna namna !!.

View attachment 3058477

Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO ALIYEUMBA DUNIA.
netanyahu ana akili nyingi sana. anaijua sana Biblia, na ukiona anaquote hiyo mistari na historia ujue anaomba support toka kwa wakristo na mataifa yote ya wakristo. hata kule kwenye christians united for Israel yupo sana. shida inakuja, wao sio wakristo, na wanawachukia wakristo sawa tu na wanavyowachukia wapagani. isipokuwa, kwetu sisi warksto, tumeelekezwa na Mungu kuwapenda na kuwasaidia, hivyo sisi huwa tunamtii Mungu isingekuwa hivyo hao jamaa wangekuwa maadui wetu wakubwa sana.

kuna desturi yao moja hivi ya kutemea mtu anayeamini imani nyingine, ilianza zamani na ilikuwepo hata kipindi cha Yesu, walimtemea Yesu Mate, hiyo ni desturi wanaifanya hadi leo na kwa imani yao wanaamini wakifanya hivyo wamedhihirisha kuukataa kabisa upagani au kuabudu kitu kingine hivyo Mungu atawabariki. hadi leo wakikutana na mkristo huwa wanamtemea mate, kama desturi.
 
Kwanini kipindi wa wanawatafutia jews pahala pakuishi walifikiria kuwaleta East Africa.?
Na si kwingine?
Kimsingi walitawanyika kila pahala hapa duniani....nakumbuka baadhi nilikunywa nao ulanzi pale Ifunda.
 
Back
Top Bottom