Wazolee JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 3,183 Reaction score 3,660 Aug 3, 2024 #121 Gwallo said: Na mimi naungana nao kwamba ni yao kabisa. Click to expand... Usicho kijia ni kwamba Isaac alikuwa na watoto wawili Jacobo na Esau Jacob amezaa waisrael Esau amezaa waparestina Kinachokusumbueni ni udini tu Kwa sababu waparestina ni waislam
Gwallo said: Na mimi naungana nao kwamba ni yao kabisa. Click to expand... Usicho kijia ni kwamba Isaac alikuwa na watoto wawili Jacobo na Esau Jacob amezaa waisrael Esau amezaa waparestina Kinachokusumbueni ni udini tu Kwa sababu waparestina ni waislam
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Aug 3, 2024 #122 Wazolee said: Usicho kijia ni kwamba Isaac alikuwa na watoto wawili Jacobo na Esau Jacob amezaa waisrael Esau amezaa waparestina Kinachokusumbueni ni udini tu Kwa sababu waparestina ni waislam Click to expand... Siyo kila Mpalestina ni Muislamu, na siyo kila Myahudi anafuata imani ya dini ya Kiyahudi. Kuna Wapalestina Wakristo, na kuna Wayahudi Waislamu na Wakristo.
Wazolee said: Usicho kijia ni kwamba Isaac alikuwa na watoto wawili Jacobo na Esau Jacob amezaa waisrael Esau amezaa waparestina Kinachokusumbueni ni udini tu Kwa sababu waparestina ni waislam Click to expand... Siyo kila Mpalestina ni Muislamu, na siyo kila Myahudi anafuata imani ya dini ya Kiyahudi. Kuna Wapalestina Wakristo, na kuna Wayahudi Waislamu na Wakristo.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Aug 3, 2024 #123 Israel wakala wa marekani mashariki yakati