Netanyahu aipiga mkwara mzito Iran na nchi zote za mashariki ya kati

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika.

My take
Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa anaweza hata kuua nusu ya raia wa middle east na watu wote wakabaki wanamchekea. Hakuna mtu wa kumchukulia hatua wala kumzuia chochote qtakachoamua kufanya kwa yoyote duniani.
 
Ujinga umekujaa huyo Israel hajafika hata nusu ya Ujerumani.

Kijitaifa kinachoishi ndani ya ngao ya ulimwengu wa magharibi hakina uwezo wa kutisha mashariki ya kati yote.

Iran iliporusha makombora Israel na yalifika [ hivi unajua hicho kitendo ni kuhararisha vita ya moja kwa moja ] kwa nini Israel hakuivamia Iran kivita kama yeye anaweza kuua mashariki ya kati yote ?

Una kichwa kitumie kufikiri sio kujaza ujinga.
 
Si iran arushe basi au ajitokeze mazima..? Haahahah kama hajawa majivu
 
Mimi nimemnukuu Neta mwenywe. Ni kazi ya Iran kuonyesha kuwa Israel anasema uongo kwa vitendo.
 
Unaongea ujinga wewe, Israel kaua rais wa Iran na hajafanywa kitu na Iran. Wamejifanya kutoa statement ya uongo kwamba hali ya hewa ndiyo iliangusha helicopta ya rais Raisi ili kuondoa aibu

Israel taifa la Mungu
 
Si iran arushe basi au ajitokeze mazima..? Haahahah kama hajawa majivu
Wewe mpumbavu sana hiyo taarifa ya mimi kusema Iran ilirusha makombora Israel na yalifika nimeijuaje kama sio wenyewe walitangaza watashambulia na walishambulia au umeanza kufuatilia habari za kimataifa leo ?

Nenda jukwaa la mapishi huko ndiko kuna kufaa sio humu
 
Mimi nimemnukuu Neta mwenywe. Ni kazi ya Iran kuonyesha kuwa Israel anasema uongo kwa vitendo.
Netanyahu ni mwendawazimu hiyo my take yako ya kipuuzi Iran ilishaonesha hana anacho hofia na ndio maana ilirusha makombora katika nchi yake huyo Netanyahu kama yeye anajiamini na yeye angerusha makombora au kupeleka tu ndenge twake kumvamia mwenzake simple like that aache vitisho vya kitoto vya kijinga.
 
Wewe mpumbavu sana hiyo taarifa ya mimi kusema Iran ilirusha makombora Israel na yalifika nimeijuaje kama sio wenyewe walitangaza watashambulia na walishambulia au umeanza kufuatilia habari za kimataifa leo ?

Nenda jukwaa la mapishi huko ndiko kuna kufaa sio humu
Je haja nyooshwa kama raisi kashushwa unataka usemeje...? Mpumbavu n mtu asie badilika hata akifundishwa au akiona. Yule raisi wenu si mmesema israel imehusika kumuua. 😁😁😁😁. Magaidi zenu mnaowatuma wanapigwa sio poa. Mwisho niseme tu ALL THE BEST🇮🇱 pelekea fire kwa hz gaidi
 
Ujinga umekujaa huyo Israel hajafika hata nusu ya Ujerumani.

Kijitaifa kinachoishi ndani ya ngao ya ulimwengu wa magharibi hakina uwezo wa kutisha mashariki ya kati yote.

Iran iliporusha makombora Israel na yalifika [ hivi unajua hicho kitendo ni kuhararisha vita ya moja kwa moja ] kwa nini Israel hakuivamia Iran kivita kama yeye anaweza kuua mashariki ya kati yote ?

Una kichwa kitumie kufikiri sio kujaza ujinga.
We muajemi wa kibaigwa acha kujiliza, pelekeni pua zenu mkawahi mabikra wenye macho ya gololi.
 
Netanyahu ni mwendawazimu hiyo my take yako ya kipuuzi Iran ilishaonesha hana ana hofia na ndio maana ilirusha makombora kati nchi yake huyo Netanyahu nyau kama yeye anajiamini na yeye angerusha makombora au kupeleka tundenge twake kumvamia mwenzake simple like that aache vitisho vya kitoto vya kijinga.
Hana anachohofia ile mikwala mbona kaufyaata. Alifoka wakiingiza jeshi gaza nawafanya kitu hamna. Alifanya nini..? Akafoka tena wakiingiza jeshi lebanon anawafanya kitu hamna amefanya nn? Kama magaidi zake wanauliwa hapo hapo Iran kwake unadhan akiingia hachapwi hapo hapo tehran. Aingize pua uone. 😁😁😁
All the best🇮🇱
 
Netanyahu ni mwendawazimu hiyo my take yako ya kipuuzi Iran ilishaonesha hana ana hofia na ndio maana ilirusha makombora kati nchi yake huyo Netanyahu nyau kama yeye anajiamini na yeye angerusha makombora au kupeleka tundenge twake kumvamia mwenzake simple like that aache vitisho vya kitoto vya kijinga.
Acha kutufokea na kutupiga milwara humu JF we muajemi wa Kondoa. Pelekeni basi mkono pale Israel.
 
Netanyahu ni mwendawazimu hiyo my take yako ya kipuuzi Iran ilishaonesha hana ana hofia na ndio maana ilirusha makombora kati nchi yake huyo Netanyahu nyau kama yeye anajiamini na yeye angerusha makombora au kupeleka tundenge twake kumvamia mwenzake simple like that aache vitisho vya kitoto vya kijinga.
Ukirusha tunaangalia impact. Yeye Neta karusha kafyeka ubalozi wote. Iran kajibu kwa kurusha mabomu ambayo yameishia kupangulia na yaliyopita yamepiga barabara za uwanja wa ndege.

Lengo la Netanyahu ni kuhakikisha raia wake waliohamishwa kaskazini wanarudi. Ili warudi lazima Hesbullah ipigwe kiasi cha kuiihitaji miaka mingine 20 au 30 kuwa na uwezo angalau wa kurusha drones.
 
Hana anachohofia ile mikwala mbona kaufyaata. Alifoka wakiingiza jeshi gaza nawafanya kitu hamna. Alifanya nini..? Akafoka tena wakiingiza jeshi lebanon anawafanya kitu hamna amefanya nn? Kama magaidi zake wanauliwa hapo hapo Iran kwake unadhan akiingia hachapi hapo hapo tehran. Aingize pua uone. 😁😁😁
All the best🇮🇱
Mwaka huu, mwarabu anashikishwa ukuta tu popote na muisrael poppte pale atakapo Netanyahu.

Sasa watu hawacheki na kima.
 
Unaongea ujinga wewe, Israel kaua rais wa Iran halafu unaongea na hajafanywa kitu na Iran. Wamejifamya kutoa statement ya uongozi kwamba hali ya hewa ndiyo iliangusha helicopta ya rais Raisi ili kuondoa aibu

Israel taifa la Mungu
Wewe ni mpumbavu sana una huo ushaidi Israel kuua Rais wa Iran tofauti na ajali ya chopa ?

Kwa nini watoto wajinga wamejaa humu wakati majukwaa yapo mengi ya kuonesha upumbavu wao ? Idiot
 
Ukirusha tunaangalia impact. Yeye Neta karusha kafyeka ubalozi wote. Iran kajibu kwa kurusha mabomu ambayo yameishia kupangulia na yaliyopita yamepiga barabara za uwanja wa ndege.

Lengo la Netanyahu ni kuhakikisha raia wake waliohamishwa kaskazini wanarudi. Ili warudi lazima Hesbullah ipigwe kiasi cha kuiihitaji miaka mingine 20 au 30 kuwa na uwezo angalau wa kurusha drones.
Kama ukirusha tuna angalia impact kairushie makombora China,Russia,N.k ama U.S ndio utajua watangalia impact au usalama wa taifa lao.

Unataka kutetea nini dhidi ya hicho kitaifa kinacholindwa na magharibi? Ugomvi kidogo tu na Hamas wamerakani mbio kwenda kuwalinda, ugomvi kidogo na Houthi marekani, Uingereza mbio kwenda kuwalinda, ugomvi kidogo na Hezbollah marekani mbio kwenda kuwalinda hakuna nchi pale ya kuitisha mashariki ya kati yote.

Kabla ya kuwapiga Hezbollah wamalizane na Hamas achana na Houthi au Hezbollah waanze kwanza Hamas.

Nakukumbusha malengo ya Israel kwenda Gaza ni kumaliza Hamas na kukomboa mateka wote hakuna hata moja walilotimiza katika kaeneo kadogo walikokazunguka kila pande kwa miaka mingi.
 
Netanyahu ni mwendawazimu hiyo my take yako ya kipuuzi Iran ilishaonesha hana ana hofia na ndio maana ilirusha makombora kati nchi yake huyo Netanyahu nyau kama yeye anajiamini na yeye angerusha makombora au kupeleka tundenge twake kumvamia mwenzake simple like that aache vitisho vya kitoto vya kijinga.
Israel imemuua Ismail Haniyeh kwenye ardhi ya Iran tena alilala kwenye jengo la kambi ya jeshi la IRGC
 
Unaongea ujinga wewe, Israel kaua rais wa Iran halafu unaongea na hajafanywa kitu na Iran. Wamejifamya kutoa statement ya uongozi kwamba hali ya hewa ndiyo iliangusha helicopta ya rais Raisi ili kuondoa aibu

Israel taifa la Mungu
Unajua impact ya Iran akiingia mazima ?Kwa asili ya mabomu ya sasa ni kuleta maafa makubwa ya kufuta nchi husika kabisa kwa sababu teknolojia imekuA ...Kumbuka yale ya Japan , hao ni binadamu kuna step wanaangalia .

Hezbollah na Hamas hawana teknolojia ila wanapigana kwa mgongo wa Iran ,...Ikitokea Iran ikaishambulia Israel basi tambu USA, UK , FRANCE wanaingia mazima kwa wakati mmoja kumshambulia ....Iran inatumia makundi madogo kama Hezbollah na Hamas
 
Ujinga umekujaa huyo Israel hajafika hata nusu ya Ujerumani.

Kijitaifa kinachoishi ndani ya ngao ya ulimwengu wa magharibi hakina uwezo wa kutisha mashariki ya kati yote.

Iran iliporusha makombora Israel na yalifika [ hivi unajua hicho kitendo ni kuhararisha vita ya moja kwa moja ] kwa nini Israel hakuivamia Iran kivita kama yeye anaweza kuua mashariki ya kati yote ?

Una kichwa kitumie kufikiri sio kujaza ujinga.
Hakuna shambulio la dharau na la kumuonyesha Iran tuko chumban kwako kama lile la kuuwawa Haniye. Ilimuonyesha jamaa walivyo ndani yao
 
Ujinga umekujaa huyo Israel hajafika hata nusu ya Ujerumani.

Kijitaifa kinachoishi ndani ya ngao ya ulimwengu wa magharibi hakina uwezo wa kutisha mashariki ya kati yote.

Iran iliporusha makombora Israel na yalifika [ hivi unajua hicho kitendo ni kuhararisha vita ya moja kwa moja ] kwa nini Israel hakuivamia Iran kivita kama yeye anaweza kuua mashariki ya kati yote ?

Una kichwa kitumie kufikiri sio kujaza ujinga.
Umesahau kuwa jibu la Israel kwa Iran lilikuwa baya sana kwa kumwua raisi wa Iran. Au hadi leo unajua hali mbaya ya hewa.
 
Back
Top Bottom