halichachi bando
Senior Member
- Feb 17, 2018
- 122
- 166
Israel safari hii amepwaya, hafanyi mashambulizi kama alivyofanya 2006.. 2006 hakuna mahala Israel hakupiga, alipiga hadi shule, barabara urefu km 640 waliharibu , piga HQ za Hezbollah na nyumba zao za viongozi... Tv station ya Hezbollah, madaraja, vituo vya fuel n.k
Kwa sisi tuliofuatilia battle la 2006, tunana Israel kashuka kiwango. Bado sana kuivunja Hezbollah nguvu... Bado sana .