Nahisi kuna jambo zito linakuja.Nilichojifunza ni kuwa kama Mrusi.
Mrusi ukibahatika kumshambulia hatoi kauli anachofanya ni kutangaza hasara iliyopatikana halafu kimya.
Majibu yake mtakuja kuyatangaza nyinyi wengine mara ooh warusi wana roho mbaya hawajatoa hata taarifa! Mara hivi mara vile!
Hali ya namna hii huwa inajenga hofu kwa unayepambana naye!
Maana sio kwa huu ukimya.
Ila Israel imeshasogeza vifaru na wanajeshi mipakani na Lebanon.