Netanyahu aipiga mkwara mzito Iran na nchi zote za mashariki ya kati

Netanyahu aipiga mkwara mzito Iran na nchi zote za mashariki ya kati

Hata pagers wamekataa sio wao
Pagers hawakukataa.
Kama wamekataa lete hapa ushahidi.
Na tena account ya Mossad ilituma picha za vichekesho kuhusu pagers kulipuka zikisema"your 72 virgins are ready".
Aya hapo wamekataa!?
Ila kifo cha Ebrahim Raisi Netanyahu alikana kwa mdomo wake kuwa hahusiki.
Ni kitu ambacho hakikutokea kabla Israel kukana tukio wazi wazi.
 
Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika.

My take
Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa anaweza hata kuua nusu ya raia wa middle east na watu wote wakabaki wanamchekea. Hakuna mtu wa kumchukulia hatua wala kumzuia chochote qtakachoamua kufanya kwa yoyote duniani.
Wairan na Hezbollah wasipomla kichwa huyu netanyau nitaona wanazingua maana sasa wana sababu zote
 
Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah amepelekwa safe house. Ila ajue Neta ameshasema hata huko mkono wa IDF unaweza kumfukua. Mtandao wa kijasusi wa IDF na Washirika wake unaiweka Middle East yote hadharani.
 
Wairan na Hezbollah wasipomla kichwa huyu netanyau nitaona wanazingua maana sasa wana sababu zote
Watafute kazi nyingine za kufanya. Sasa kama wanamfumuq hadi kiongozi mkuu wa Hesbullah wao wanashindwaje kituma hypersonic moja tu kumfumua Neta wakati anarudi kutoka UN.

Ukweli mchungu hawana huo uwezo. NaIsrael inqjua hadi kufikiq leo Hesbullah wamejiandaa kwa zaidi ya miaka 20. Leo qnataka awarudishe nyuma yqani ili wasimqme tena itawabidi watumie miaka 40 ijayo. Hapo lengo la PM wa Israel la kuwarudisha raia wake kaskazini mwa Israel litatimiq kqma qlovyoahidi.
 
Wairan na Hezbollah wasipomla kichwa huyu netanyau nitaona wanazingua maana sasa wana sababu zote
Ila israel inqchofanya inqjitahidi ipate taarifa zao in advance. Wanajua wanaweza ilq qmbacho huwa anawafanyia waarabu huwa ni kuwawahi. Hata hawa Hesbullah sio kwamba hawana uwezo wa kuletq mashambulio hatarishi zaidi ya drones. Jana usiku wamewahiwa tu na kiongozi wao kaliwa kichwa. Wamebaki bila uwezo wa kulipq kisasi.
 
Netanyahu mwenyewe alishaingia Iran akiwa komando miaka hiyo wakapiga tukio na kuondoka .

Hivyo anamaanisha anachokisema.
 
Unaongea ujinga wewe, Israel kaua rais wa Iran na hajafanywa kitu na Iran. Wamejifanya kutoa statement ya uongo kwamba hali ya hewa ndiyo iliangusha helicopta ya rais Raisi ili kuondoa aibu

Israel taifa la Mungu
Mungu yupi?

Umeandika ujinga sana Mataifa yote ya Mungu hao Isarael sio wale wa zaman tena.
 
IDF imetishia tena. Kama ndege ya Iran itatua Beirut. Itaifuta hiyo ndge na uwanja wote utafumuliwa. Inataarifa kuna ndege inakuja. Wamaingilia mawasiliano na kuwapa onyo kali wahusika wote
 
Mungu yupi?

Umeandika ujinga sana Mataifa yote ya Mungu hao Isarael sio wale wa zaman tena.
Basi kaeni kwa kutulia muendelee kuona jinsi vitukuu vya Mohammad vinavyoshughulikiwa na taifa teule.
 
Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika.

My take
Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa anaweza hata kuua nusu ya raia wa middle east na watu wote wakabaki wanamchekea. Hakuna mtu wa kumchukulia hatua wala kumzuia chochote qtakachoamua kufanya kwa yoyote duniani.
Ila waziri wao mkuu mstaafu ameonya wasithubutu kuingia lebanon kitawakuta kama kilichowakuta 2006
 

Attachments

  • Screenshot_20240928-154521_Instagram.jpg
    Screenshot_20240928-154521_Instagram.jpg
    372.1 KB · Views: 1
Mi mwenyewe nashindwa kuelewa hawa wadau wanaongea kitu gani ..

Netanyahu mwenyewe anaonekana mjinga tu, kwenye hotuba baraza la usalama umoja wa mataifa wawakilishi wengi tu walitoka nje kushiria anaongea pumba tupu, najua ilimtesa kisaikolojia sana.

Kwa hasira akaanza kutoa mikwara ataipiga Iran, Netanyahu amekuwa kama mwehu, anazidi kutengeneza jina baya kwa Israel, Ajifunze kwa Ehud Olmert, Israel itamgeuka Hezbollah wakianza mashambulizi....

Nina uhakika hii ni nafasi Hezbollah walikua wakiitafuta Israel aingie kwenye 18 na kweli ameingia...
God Bless Israel
 
Ujinga umekujaa huyo Israel hajafika hata nusu ya Ujerumani.

Kijitaifa kinachoishi ndani ya ngao ya ulimwengu wa magharibi hakina uwezo wa kutisha mashariki ya kati yote.

Iran iliporusha makombora Israel na yalifika [ hivi unajua hicho kitendo ni kuhararisha vita ya moja kwa moja ] kwa nini Israel hakuivamia Iran kivita kama yeye anaweza kuua mashariki ya kati yote ?

Una kichwa kitumie kufikiri sio kujaza ujinga.
Unatakiwa ujue ni ndoto ya Iran, Syria, Hamas, na Hezbollah kuifuta Israeli kwenye ramani...unapoona hawafanyi hvyo ni kwasababu hawana uwezo au wanaogopa kujaribu maana itawagarimu ziadi....
 
Kumtishia au Kumwogofya Adui ni sehemu mojawapo ya Mikakati ya Kushinda vita.
Maadui zake wakisikia lazima wapanic na pengine wafikirie kuweka silaha chini na kusalimu Amri.
Lakini hata hivyo bado Netanyahu asifikiri kutakuwa na Amani mashariki ya Kati bado kuna safari ndefu.
 
Back
Top Bottom