Netanyahu aipiga mkwara mzito Iran na nchi zote za mashariki ya kati

Netanyahu aipiga mkwara mzito Iran na nchi zote za mashariki ya kati

Benjamin Netanyahu alikataa na akakana mbele ya kadamnasi Israel haihusiki na kifo cha Rais wao.
Kwa akili yako ya madrasa feki ulitarajia Netanyahu akubali kuwa Israel inahusika? Hizo Quran mnazosoma mkiwa na njaa zinawapotosha mpk mnadhani kuwa kwa kuwa mtume S.A. W alikuwa mwarabu basi kila mwarabu ni mtume. Pambaaafu.
 
Acha uongo wa KIFALA wewe.
Benjamin Netanyahu alikataa na akakana mbele ya kadamnasi Israel haihusiki na kifo cha Rais wao.
Wewe mswahili wa peramiho unalazimisha eti wamehusika.
Lete ushahidi hapa kama unao.

Iran imeshaishambulia Israel mara kibao direct and indirect na hakuna kitu Israel ilifanya.
Unakumbuka makombora 300 Iran alorusha kuelekea Israel!?
Je Israel alifanya nini baada ya hapo!??
Mnabwabwaja kama mmelewa chang'aa bana.
Hata pagers wamekataa sio wao
 
Safari hii Mashariki ya Kati imekutana na Jeuri na Kiburi Babu Netanyahu. Anadungua bila kuwapa nafasi ya kutubu, huenda Sinwar kafa pia maana Gaza imepoa sana
 
Kijibwa kina shida kinabweka na kutia mikwara kikijua bwana zake us na wamagharibi wapo nyuma watamsaidia kwa kila kitu
 
Wewe mpumbavu sana hiyo taarifa ya mimi kusema Iran ilirusha makombora Israel na yalifika nimeijuaje kama sio wenyewe walitangaza watashambulia na walishambulia au umeanza kufuatilia habari za kimataifa leo ?

Nenda jukwaa la mapishi huko ndiko kuna kufaa sio humu
Wewe Mvaa kobazi na kipedoWa Rufiji, Mbona Povu limekutoka kiasi icho? Nenda Gaz Au Lebanon UkawasaidieWavaa kobazi Wenzio Ambayo Wanapelekewa Moto Wa kufa Mtu na Mazayuni, Israel ni Taifa Taka TIFU MKUU
 
Ni wajinga tuu ndo wanaokubali kuwa IsRAEL ni taifa la Mungu, kwamba haya mataifa mengine ni ya nan labda...? africa amkeni
 
Ni kweli Israel haikuivamia Iran, lakini nikuulize Kiongozi Mkuu wa HAMAS na Rais wa Iran walibaki salama? Ahahahahaha!!!
Aaaahhii mnatia kinyaa wapumbavu mmejaa humu majukwaa mengine ya wajinga wenzenu hamuyaoni ?

Mnanipa uvivu hata kuandika.
 
Unaongea mihemko huongei fact.
Endelea na mihemko yako.
Halafu una habari kama jana Netanyahu wako viongozi waliinuka na kumpuuza alipoanza kuhutubia UNGA!?
I've always seen you my brother, and because of that, I can't argue with you now! I respect you brother! I don't have a word about you, this is because of the respect you have built for yourself!

Naburudisha moyo tu mkuu kupondana na wabongo wenzangu ambapo nchi yetu tunahitaji kuijenga ili nasi tusogee huko

Kwa sasa wacha tuwe shabiki wa wenzetu huko, mimi napendelea kushabikia Israel na USA

Bila shaka wewe ni Iran, China na Russia kama sjakose

Huna baya Kosugi

Hata hivyo, bado sisi ni wale wale watz mkuu
 
Wewe Mvaa kobazi na kipedoWa Rufiji, Mbona Povu limekutoka kiasi icho? Nenda Gaz Au Lebanon UkawasaidieWavaa kobazi Wenzio Ambayo Wanapelekewa Moto Wa kufa Mtu na Mazayuni, Israel ni Taifa Taka TIFU MKUU
Wewe ni mwendawazimu mimi sio daktari siwezi kukutibu
 
Hao wakithubutu wanapata aibu ya karne.

Syria naye amepanga kurudisha eneo lake na taarifa rasmi zinasema takribani wanajeshi elfu arobaini kutoka Yemen, Taliban, Iraq na Syria wenyewe wapo hapo mpakani na Israel. Wanasubiri kosa la kiutebdaji alifanye Israel.

Netanyahu akithubutu kuingiza jeshi kwenye mipaka ya Lebanon hiyo ni vita kamili. Na jeshi la Israel limesha prove ni mdebwedo kwenye vita yake na Hamas.

Na kinachofanyika sasa hivi Iran ananunua silaha za kuzamisha meli Russia na kumpatia Yemen. Ikiwa vita ikiaanza Yemen atakuwa anadili na meli za kijeshi za Bwana Nato hapo baharini.

Hivyo mazingira kwa Israel na mabwana zake si rahisi kihivyo!
Kuna propaganda nyingine inabidi ucheke tu 😂 aisee wewe mtu ni bigwa wa propaganda. Haya maneno Yako hata hizbullah wakiyasoma lazima wacheke aisee..!!
 
Unajua impact ya Iran akiingia mazima ?Kwa asili ya mabomu ya sasa ni kuleta maafa makubwa ya kufuta nchi husika kabisa kwa sababu teknolojia imekuwa ...Kumbuka yale ya Japan , hao ni binadamu kuna step wanaangalia .

Hezbollah na Hamas hawana teknolojia ila wanapigana kwa mgongo wa Iran ,...Ikitokea Iran ikaishambulia Israel basi tambu USA, UK , FRANCE wanaingia mazima kwa wakati mmoja kumshambulia ....Iran inatumia makundi madogo kama Hezbollah na Hamas
Vita ni alliances , iran anajua kabis akisogeza pua yake israel, usa and co wata msaidia israel, na iran anaeweza kummunga mkono ni russia ambaye nae ana vita yake na ukraine
 
Vita ni alliances , iran anajua kabis akisogeza pua yake israel, usa and co wata msaidia israel, na iran anaeweza kummunga mkono ni russia ambaye nae ana vita yake na ukraine
Kama israel hatotoka pale basi ni vita milele.
 
Back
Top Bottom