Netanyahu Awaonya Hezbollah Ataibadili Beirut Kuwa Gaza Kama Wakianzisha Vita Nyingine Dhidi Ya Israeli

Mpaka sasa hivi wapiganaji zaidi ya 70 wa hezbuller na raia 6 wameuawa na Israel, huku wanajeshi 6 tuu wa Israel nao wakiwa wameuawa.
Fanya uwiano sasa hapo!
 
BREAKING | Israeli media: 40 injured Israeli soldiers were transferred from the Gaza Strip to Soroka Hospital in southern Palestine in the past 24 hours alone.
 
Wewe unajua Zaidi ya Netanyahu?
 
Israel inajua madhara ya kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Hizbulla na ndio maana anakwepa kuingia moja kwa moja kwenye vita na kundi hilo licha ya mapigano ya mara kwa mara ya mpakani.
 
Kwa mtazamo wako kunaoption ngapi za kukomboa mateka?, Lengo kuu la Israel lilikuwa kukomboa mateka au kuwafyeka magaidi ya Hamas?
 
Kwa mtazamo wako kunaoption ngapi za kukomboa mateka?, Lengo kuu la Israel lilikuwa kukomboa mateka au kuwafyeka magaidi ya Hamas?
Vyote kakosa hamna Hamas ambao wamewakata au kuwaua labda Hamas ni wale watoto wanaopigwa mabomu.
 
Upo middle East au?
 
Miaka buku hawezi ingia front na hawa wahuni ..kama mgambo hamas ana kupiga missiles buku kwa saa hadi irone dom ina baki kushangaa
 
Walisema israeli inasubiriwa na Hamas kupeleka vikosi vya ardhini Gaza.
Bendera ya Israeli katikati ya Gaza!
The "Palestine Square" in Gaza with the flag of Israel! ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ
 
Tunaongea ujinga na utoto sana.
Hao Hezbollah kama wangekuwa na huo uwezo basi wangeingiza vikosi vyao Gaza ili kuisaidia Hamas.

Tuache utani, nguvu ya kivita ya Izrael hapo mashariki ya kati huwezi ilinganisha na taifa lolote lile.
 
Israel inatupigania dunia nzima wakimalizana na Gaza wanachagua waingie Syria au Lebanon
 
Walisema israeli inasubiriwa na Hamas kupeleka vikosi vya ardhini Gaza.
Bendera ya Israeli katikati ya Gaza!
The "Palestine Square" in Gaza with the flag of Israel! ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑView attachment 2837079
Vipi na mateka au hawapo Gaza na ule mpango wa kumwaga maji kwenye mahandaki vipi? Hamas wanasubiri kwa hamu wapate japo maji ya kuonga na kufuria nguo.
 
Hahaha... Mzee Netanyahu hii vita itampa mental disorder. Amesahau mziki wa Hezbollah asije tu kujichanganya It might be the end!!
 
Hali ni mbaya kutoka uwanja wa vita Israel inahaha namna ya kusimamisha vita Hamas wamekua wakali sana tangu juzi.
 
Hali ni mbaya kutoka uwanja wa vita Israel inahaha namna ya kusimamisha vita Hamas wamekua wakali sana tangu juzi.
Atashambulia na ndege mpk target zitaisha km walivyofanyiwa na hezbollah 2006 waliachwa wiki nzima wanashambulia mwisho ndege zikawa hazina pakushambulia target zote zishapigwa ndio wanashangaa hezbollah wanaanza kushambulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ