Netanyahu Awaonya Hezbollah Ataibadili Beirut Kuwa Gaza Kama Wakianzisha Vita Nyingine Dhidi Ya Israeli

Netanyahu Awaonya Hezbollah Ataibadili Beirut Kuwa Gaza Kama Wakianzisha Vita Nyingine Dhidi Ya Israeli

Huyu waziri anashida sana , anajiona mtu mwenye akili na majinguvu , nakuhakikishia Israeli, kuna watu wanamwinda tu aendele kudhoofika , ndo watu waingie huko kwao , siku zaja kuna siku telavith itapokea bom ndo atujua kuwa hajui

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Dua la kuku Hilo. Israel sio Netanyauh tu. Akiondoka yeye watakuja wengine "wabaya" zaidi yake.
 
Kuna data wanaJF wanazo, Netanyahu mwenyewe hana
 
Yemen nchi ya kimasikini na primitive kuliko waarabu wote,ilikulaga kichapo Cha mda mfupi na Eritrea miaka ya nyuma.inatafuta pa kujifia
We unadhani Israel ni matajiri? Yemen umasikini wake ni wapi? Uliwahi fika Yemen ukawaona wanavyo ishi, hata America wako masikini kuliko wa mbagala mbona mnawaita matajiri 😄
 
Israel wanamakombora ya Nyuklia, and they can make tactical one any time... Israel Can reach anywhere in middle east and have list of all targets in Middle East, including Suadia na Iran

Apige Nuclear, kisha Yahudi awindwe duniani kote kama digidigi.
Hatokuwa salama baada ya hapo!
 
Israel kuliko ashindwe anaweza kupiga Nyuklia moja kwenye Kambi ya Hezbollah Biashara iishe
 
Hezbollah wataiponza Lebanon bure wakae Kwa kutulia
Israel safari atachakazwa mpa atajuta kuwa tools wa US pale Middle East, kama anavyo juta Ukraine sa ivi

We unadhani Hezbullah ataiwacha safari hi ipumie, kawaida ya Israel na US ni mahodari wakuanzisha vita lakini wakianza kupokea kipigo US wanakimbia, atabaki Israel ndio anasumbua raia wake.

Lebanon wameisha zowea vita lakini Israel hawana uvumilivu wa vita.
 
Back
Top Bottom