Netanyahu: Hamas wana machaguo mawili tu kujisalimisha au kufa, aapa kuendea na vita mpaka Hamas wafutike

Messenger RNA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
1,411
Reaction score
3,712
Akiongea na waandishi wa habari,Netanyahu amesisitiza kuwa mpaka malengo waliyojiwekea yakamilike ambayo moja wapo ni kutokomeza kundi la hamas,netanyahu ameongeza kuwa hamas wanapelekewa moto wa jehanamu na pia wanaowasaidia.
============================
Israel will continue its war against Hamas until the group is "eliminated", Benjamin Netanyahu has said in the face of growing international criticism of the IDF's military operation in Gaza.

Speaking to reporters, the Israeli prime minister said: "We continue the war until the end. It will continue until Hamas is eliminated - until victory.

"We will not stop fighting until we achieve all of the goals we have set: the elimination of Hamas, the release of our hostages and the removal of the threat from Gaza.

"We are attacking Hamas with infernal fire.

"Everywhere, including today. We also attack their assistants from near and far. All Hamas terrorists, from the first to the last, are dead men. They have only two options: surrender or die."

Israel ilikuwa inakuzwa sn yaani gaza km mkoa mmoja tu wa tanzania anahangaika nayo mwezi wa tatu unaenda huu na huku anapewa misaada na usa,france,uk na germany na hakuna lengo hata moja lililotimia labda km malengo yalikuwa kuua watoto lakini hajakomboa mateka hata mmoja.
 
Unataka na raia wakawaida wauliwe hovyo hovyo??
 
Israel ilikuwa inakuzwa sn yaani gaza km mkoa mmoja tu wa tanzania anahangaika nayo mwezi wa tatu unaenda huu na huku anapewa misaada na usa,france,uk na germany na hakuna lengo hata moja lililotimia labda km malengo yalikuwa kuua watoto lakini hajakomboa mateka hata mmoja.
Ghaza haifiki ukubwa wa mkoa wowote wa tanzania
Ghaza kama halmashauri ama wilaya fulani
Israhell imekua over-rated sana ila ni yakawaida sana
 
Kumbuka anatumia sehemu ndogo mno ya jeshi lake anajua muda wowote waarabu waliomzunguka wanaweza ku retaliate at once kama walivyofanya yom kippur war hivyo ana reserve kubwa sana ya ammunitions reservists hard ware na soft ware za kutosha kuwapiga waarabu wote at once in case wakaliamsha kwahiyo usidhani hiyo ya Gaza ni full scale mobilization.
 
Ngoja waje Hamastan wa Tandale kwa mfuga mbwa !
 
Israel ilikuwa inakuzwa sn yaani gaza km mkoa mmoja tu wa tanzania anahangaika nayo mwezi wa tatu unaenda huu na huku anapewa misaada na usa,france,uk na germany na hakuna lengo hata moja lililotimia labda km malengo yalikuwa kuua watoto lakini hajakomboa mateka hata mmoja.
Mkuu una elimu gani kuhusu Jographia?

Gaza ni sawa na nusu ya wilaya ya kigamboni.
JamiiForums1620158186.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ghaza haifiki ukubwa wa mkoa wowote wa tanzania
Ghaza kama halmashauri ama wilaya fulani
Israhell imekua over-rated sana ila ni yakawaida sanaka
Kanuse pua uone, Israel sijui iko overated or underrated haviwezi kuwasadia wapalestina na hamas , magaidi yamezoea kuchoma visu watu huko Ulaya wazungu wanawachekea kwa democracy yao na huruma yao, Israel ni hatari, baada ya miezi 6 hautasikia tena hamasi
 
Netanyau hii vita ndo hatima yake ya kisiasa ndo maana pamoja na mambo kuwa magumu bado amekomaa tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo inashauri Israel waache hamasi waendelee kushambulia Israel? Hiyo ngoma hamas hawatakuja kusahau, chokozeni nchi za USA, UK, France na siyo Israel au Rusia
 
Kumbuka anatumia sehemu ndogo mno ya jeshi lake anajua muda wowote waarabu waliomzunguka wanaweza ku retaliate at once kama walivyofanya yom kippur war hivyo ana reserve kubwa sana ya ammunitions reservists hard ware na soft ware za kutosha kuwapiga waarabu wote at once in case wakaliamsha kwahiyo usidhani hiyo ya Gaza ni full scale mobilization.
Hana uwezo huo wakumpiga hata Iran peke ake, hao Hamas tu kaomba msaada Kwa USA& CO, Yemeni wameshikiria tu Bomba kidogo USA na shoga zake wameanza peleka meli zao za kivita kuwadhibit, ISRAEL hamna kitu zaidi yahio NUCLEAR sio lolote.
 
Raia wa kawaida wauliwe mara ngapi?wameuwa zaidi ya elf 20 raia wa kawaida wanapga mabomu mpk hospital na shule leo unauliza nnataka raia wauliwe
Humo Hamas wanajifichia wanawafanya ngao wanachi
 
Akiongea na waandishi wa habari,Netanyahu amesisitiza kuwa mpaka malengo waliyojiwekea yakamilike ambayo moja wapo ni kutokomeza kundi la hamas,netanyahu ameongeza kuwa hamas wanapelekewa moto wa jehanamu na pia wanaowasaidia.
============================
Israel will continue its war against Hamas until the group is "eliminated", Benjamin Netanyahu has said in the face of growing international criticism of the IDF's military operation in Gaza.

Speaking to reporters, the Israeli prime minister said: "We continue the war until the end. It will continue until Hamas is eliminated - until victory.

"We will not stop fighting until we achieve all of the goals we have set: the elimination of Hamas, the release of our hostages and the removal of the threat from Gaza.

"We are attacking Hamas with infernal fire.

"Everywhere, including today. We also attack their assistants from near and far. All Hamas terrorists, from the first to the last, are dead men. They have only two options: surrender or die."

Inaonekana Rais na waziri wake wanatofautiana.
 
Humo Hamas wanajifichia wanawafanya ngao wanachi
Ww umesema israel inaogopa kuuwa wananchi hovyo nimekwambia israel wameshauwa raia wa kawaida elf 20 saa hz unabadilisha mada kwahyo hamas walikuwa wanakaa kwenye wodi za wagonjwa mpk israel inashambulia hospital acheni kutetea ujinga israel inajulikana siku zote easy target yake ni civilians hila battle uwanja wa vita weupe tu.
 
Mbona wameuliwa Sana, labda sema unataka raia wakawaida waendelee kuuliwa.
Sasa si watoke wapigane kuliko kujificha kwa mama zao na Baba zao, sasa handaki linajengwa chini ya jengo la hospital unataka Israel wafanye nini!
 
Back
Top Bottom