Netanyahu: Hamas wana machaguo mawili tu kujisalimisha au kufa, aapa kuendea na vita mpaka Hamas wafutike

Netanyahu: Hamas wana machaguo mawili tu kujisalimisha au kufa, aapa kuendea na vita mpaka Hamas wafutike

Kwa hiyo inashauri Israel waache hamasi waendelee kushambulia Israel? Hiyo ngoma hamas hawatakuja kusahau, chokozeni nchi za USA, UK, France na siyo Israel au Rusia
Peace dialogue ni bora watu kama akina Marehemu General Ariel Sharon walitambua hicho wakatoka Gaza na kuona two state ndio solutionna pia walijifunza baada ya kuivamia Lebanon 1982 walishinda vita ila wakazalisha kundi jipya kubwa na adui mbaya sana Hizbullah na Gaza ikifutwa Hamas watamka wale PIJ wanaokuwa backed 100% na Iran ni wakati kama Israel inataka amani na palestine na entire middle east watumie diplomasia na hasa wakwenda kuongea nae na kuweka mambo sawa ni Iran kwa kuwa yeye ndio anamjenga hizbullah ameijenga yemen ,syria kijeshi na iraq pia na kwa kuwa wamejitangazia wao ndio regional power.
 
Kuna watu wanaamini kuwa wanamgambo hamas watashinda hivi vita. Nawahurumia sana.
 
Israel ilikuwa inakuzwa sn yaani gaza km mkoa mmoja tu wa tanzania anahangaika nayo mwezi wa tatu unaenda huu na huku anapewa misaada na usa,france,uk na germany na hakuna lengo hata moja lililotimia labda km malengo yalikuwa kuua watoto lakini hajakomboa mateka hata mmoja.
huna akili ,kile nikikundi ngao yao watu wasio na hatia ,kuwapiga needs timing wangekuwa ni majeshi stori ingekuwa nyingine
 
Akiongea na waandishi wa habari,Netanyahu amesisitiza kuwa mpaka malengo waliyojiwekea yakamilike ambayo moja wapo ni kutokomeza kundi la hamas,netanyahu ameongeza kuwa hamas wanapelekewa moto wa jehanamu na pia wanaowasaidia.
============================
Israel will continue its war against Hamas until the group is "eliminated", Benjamin Netanyahu has said in the face of growing international criticism of the IDF's military operation in Gaza.

Speaking to reporters, the Israeli prime minister said: "We continue the war until the end. It will continue until Hamas is eliminated - until victory.

"We will not stop fighting until we achieve all of the goals we have set: the elimination of Hamas, the release of our hostages and the removal of the threat from Gaza.

"We are attacking Hamas with infernal fire.

"Everywhere, including today. We also attack their assistants from near and far. All Hamas terrorists, from the first to the last, are dead men. They have only two options: surrender or die."

Hamas hawezi jisalimisha vita iendelee
 
Israel ilikuwa inakuzwa sn yaani gaza km mkoa mmoja tu wa tanzania anahangaika nayo mwezi wa tatu unaenda huu na huku anapewa misaada na usa,france,uk na germany na hakuna lengo hata moja lililotimia labda km malengo yalikuwa kuua watoto lakini hajakomboa mateka hata mmoja.
Israel ikitumia nguvu zake zote raia wa Palestine watazidi kuangamia maana Hamas wanawatumia raia kama ngao
 
Back
Top Bottom