Netanyahu: Hamas wana machaguo mawili tu kujisalimisha au kufa, aapa kuendea na vita mpaka Hamas wafutike

 
 
Baaaaado hamjasema yaaan mpaka msemeee.

Kwani mlipoipiga october 7 mlikubaliana kwamba majibu iwe mwisho lini!!!?😂😂😂😂😂

😂😂😂😂😂 weee IDF mmepigaje pigaje hapoooo😂😂😂
 
Mbona urusi imeshindwa kuichukua burkemud Kwa Zaid ya miaka 2!? Magaidi mtakona
 
Hao Hamas walivyomuua huyu kijana au niseme vijana wa ki Tanzania wamempiga risasi wamemkata mapanga huku wamemkanyagq shingoni,

Wateketezwe, wafutike juu ya nchi.

I'm sorry ni maumivu makubwa.
 
Hana lolote porojo tu vita venyewe vimeshamshinda anabaki anabwatabwata tu na kuua hadi wamama kanisani
 
Nakupa miezi sita ya ziada
Baada ya mwaka mmoja hautasikia israhell kua imeifuta hamas
Hilo musahau
 
Israhell imetangaza rasmi kua ipo vitani na hamas
Yaani kaishindwa hamas licha yakupata msaada kwa mashoga zake wote wa ulaya nakwengineko
Waarabu wampige israhell wanini wakati hamas wanatosha
Kama ana resev kubwa angemalizana na hamas Kwanza wanao ufanya uchumi wa mazayuni uchechemee na watu wake kuishi kwa amani sio kuhamishwa hamishwa
 
Mbona urusi imeshindwa kuichukua burkemud Kwa Zaid ya miaka 2!? Magaidi mtakona
Israhell inapigana na kijiji urusi inapigana na nchi
Israhell ilikua over-rated sana ila wakawaida haswaa
 
Siyo mkoa Gaza ni kama Kigamboni Netanyahu, kachanganyikiwa mpaka sasa hivi hawajafikia malengo ya vita dunia yote inaoa Hamas wapo Gaza na wameshikilia mateka wao kazi ilibaki kwao ni kuuwa watoto na kuharibu miondombinu, juzi alienda kusalimia wanajeshi majeruhi hospitali wengine wakakataa hata kungea naye😂
 
Humo Hamas wanajifichia wanawafanya ngao wanachi
Wewe punguani kweli hizi propaganda za kishoga unamueleza nani labda mapunguni wenzako ndiyo wanaweza kukuelewa Magaidi wa Israel wanashambulia kambi za wakimbizi Hamas hapo wanahusika vipi? Kwa hiyo unataka kutuambia Hamas wananchi kama ngao akimuweke mbele kombora likitua linauwa mwananchi linamuacha Hamas? Akili yako imejaa mavi
 
Kwa hiyo ingekuwa jeshi la nchi gani lingepeleka wanajeshi wako kwenye yale mashimo wakaangamie? Na huko mtaani Gaza Hamas wanapgana huku wamevaa kiraia( civilian). Ingekuwa ni combat war na Hamas wangekuwa na military base zakuonekana unazani wengekuwepo mpaka sasa?
 
Ni Maoni Binafsi,au Ni Mmoja kati ya wasemaji wa Nchi Ya Israel??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…