Netanyahu: Hamas wana machaguo mawili tu kujisalimisha au kufa, aapa kuendea na vita mpaka Hamas wafutike

Kwa hiyo inashauri Israel waache hamasi waendelee kushambulia Israel? Hiyo ngoma hamas hawatakuja kusahau, chokozeni nchi za USA, UK, France na siyo Israel au Rusia
Peace dialogue ni bora watu kama akina Marehemu General Ariel Sharon walitambua hicho wakatoka Gaza na kuona two state ndio solutionna pia walijifunza baada ya kuivamia Lebanon 1982 walishinda vita ila wakazalisha kundi jipya kubwa na adui mbaya sana Hizbullah na Gaza ikifutwa Hamas watamka wale PIJ wanaokuwa backed 100% na Iran ni wakati kama Israel inataka amani na palestine na entire middle east watumie diplomasia na hasa wakwenda kuongea nae na kuweka mambo sawa ni Iran kwa kuwa yeye ndio anamjenga hizbullah ameijenga yemen ,syria kijeshi na iraq pia na kwa kuwa wamejitangazia wao ndio regional power.
 
Kuna watu wanaamini kuwa wanamgambo hamas watashinda hivi vita. Nawahurumia sana.
 
huna akili ,kile nikikundi ngao yao watu wasio na hatia ,kuwapiga needs timing wangekuwa ni majeshi stori ingekuwa nyingine
 
Hamas hawezi jisalimisha vita iendelee
 
Israel ikitumia nguvu zake zote raia wa Palestine watazidi kuangamia maana Hamas wanawatumia raia kama ngao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…