Mwaka huu wataiona dunia. Walidhani wao wameletwa duniani kuja kuua wengine?Maelezo hayo ya kuchanganyikiwa Netanyahu ameyatoa siku moja baada ya kombora zito la Iran kupiga karibu kabisa na kinu cha nyuklia cha Dimona kilichopo kusini mwa Israel, ikiwa ni jibu la kushambuliwa kwa kituo chake cha nyuklia cha Natanz.
Katika maelezo hayo,Netanyahu amesema mataifa mengi yalikuwa tayari yameelekea kuwasaidia lakini kwa sasa ni muhimu kuharakisha kuwasaidia wao na Marekani dhidi ya Iran.
Akiwa amesimama eneo ambalo lilisambaratishwa na kombora na karibu tani 2 la Iran, Netanyahu aliishutumu Iran kwa kulenga maeneo ya raia na akaonya ya kuwa Israel ina uwezo wa kutumia makombora ya masafa marefu kupiga maeneo ya mashariki ya Iran.
Lugha aliyoitumia Netanyahu kwa kweli ni ya kile kizunguzungu alichokisema Mojtaba jana.Mwaka huu wataiona dunia. Walidhani wao wameletwa duniani kuja kuua wengine?
Maelezo hayo ya kuchanganyikiwa Netanyahu ameyatoa siku moja baada ya kombora zito la Iran kupiga karibu kabisa na kinu cha nyuklia cha Dimona kilichopo kusini mwa Israel, ikiwa ni jibu la kushambuliwa kwa kituo chake cha nyuklia cha Natanz.
Katika maelezo hayo,Netanyahu amesema mataifa mengi yalikuwa tayari yameelekea kuwasaidia lakini kwa sasa ni muhimu kuharakisha kuwasaidia wao na Marekani dhidi ya Iran.
Akiwa amesimama eneo ambalo lilisambaratishwa na kombora na karibu tani 2 la Iran, Netanyahu aliishutumu Iran kwa kulenga maeneo ya raia na akaonya ya kuwa Israel ina uwezo wa kutumia makombora ya masafa marefu kupiga maeneo ya mashariki ya Iran.
Yawezekana una tatizo la lugha. Unasoma lugha za watu, kwa kukosa uwezo wa kuzielewa, unatoka na tafsiri ya uwongo. Nikusaidie:
Trump hajawahi kuomba taifa lolote liisaidie Marekani au Israel kupigana na Iran.
Baada ya Iran kuzuia meli za mafuta kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, Trump aliomba mataifa yote yanayoathirika na zuio hilo yazilinde kijeshi meli zinazopita kwenye huo mkondo. Mataifa ya NATO na Ulaya, yakagoma kizilelinda meli kijeshi na kudai kuwa yatatumia diplomasia kuondoa hilo zuio. Jana, Trump alitangaza kuwa kama Iran haitafungua, atapiga vituo vyote vya Iran vya kuzalishia nishati. Jana hiyo hiyo Iran imetangaza kuwa hakuna zuio la meli za mafuta kupita kwenye huo mkondo isipokuwa meli za mataifa adui Marekani na Israel.
Hivyo si Israel wala Marekani, iliyoliomba taifa lolote kuingia kwenye vita vyao dhidi ya Iran, ila wanaomba mataifa mengine yatoe ulinzi wa meli za mafuta.
habari ni hiyo hiyo na ndivyo walivyoelewa mpaka wazungu wanaozungumza kiiengereza.Yawezekana una tatizo la lugha. Unasoma lugha za watu, kwa kukosa uwezo wa kuzielewa, unatoka na tafsiri ya uwongo. Nikusaidie:
Trump hajawahi kuomba taifa lolote liisaidie Marekani au Israel kupigana na Iran.
Baada ya Iran kuzuia meli za mafuta kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, Trump aliomba mataifa yote yanayoathirika na zuio hilo yazilinde kijeshi meli zinazopita kwenye huo mkondo. Mataifa ya NATO na Ulaya, yakagoma kizilelinda meli kijeshi na kudai kuwa yatatumia diplomasia kuondoa hilo zuio. Jana, Trump alitangaza kuwa kama Iran haitafungua, atapiga vituo vyote vya Iran vya kuzalishia nishati. Jana hiyo hiyo Iran imetangaza kuwa hakuna zuio la meli za mafuta kupita kwenye huo mkondo isipokuwa meli za mataifa adui Marekani na Israel.
Hivyo si Israel wala Marekani, iliyoliomba taifa lolote kuingia kwenye vita vyao dhidi ya Iran, ila wanaomba mataifa mengine yatoe ulinzi wa meli za mafuta.
Huyo achana naye ni MPINDISHA TAARIFA. MPUUZIE TU.habari ni hiyo hiyo na ndivyo walivyoelewa mpaka wazungu wanaozungumza kiiengereza.
Je ni yeye mbona nasikia yupo kwenye sanduku we tazama kwanini hawamtoi mwili wake kamili haha.Lugha aliyoitumia Netanyahu kwa kweli ni ya kile kizunguzungu alichokisema Mojtaba jana.
Hata hakuweza kwenda kuwaona majeruhi kwa kiwewe.akaagiza meya wa Dimona ampelekee salamu tu halafu akaondoka mbio.
IndeedSema vita hii inaelelekea kubaya. Israel na USA hawakuijua sawasawa Iran.
😄😄 Yeye Anapingahabari ni hiyo hiyo na ndivyo walivyoelewa mpaka wazungu wanaozungumza kiiengereza.
Wamezidiwa walidhani Iran ni lele mama USA leo anambembeleza Oman awasemeshe Iran warudi kwenye mazungumzo na wakati huku Trump anajitapa kumpa Iran 48 hours ili afungue Hormuz hahahaha
Maelezo hayo ya kuchanganyikiwa Netanyahu ameyatoa siku moja baada ya kombora zito la Iran kupiga karibu kabisa na kinu cha nyuklia cha Dimona kilichopo kusini mwa Israel, ikiwa ni jibu la kushambuliwa kwa kituo chake cha nyuklia cha Natanz.
Katika maelezo hayo,Netanyahu amesema mataifa mengi yalikuwa tayari yameelekea kuwasaidia lakini kwa sasa ni muhimu kuharakisha kuwasaidia wao na Marekani dhidi ya Iran.
Akiwa amesimama eneo ambalo lilisambaratishwa na kombora na karibu tani 2 la Iran, Netanyahu aliishutumu Iran kwa kulenga maeneo ya raia na akaonya ya kuwa Israel ina uwezo wa kutumia makombora ya masafa marefu kupiga maeneo ya mashariki ya Iran.
View: https://www.youtube.com/watch?v=qJ1JNge0I9w&t=82s
Peleka upumbavu wako kwa vilaza wenzako, unajaza server na mataputapu hakuna mtu atasoma huu upupu wakoYawezekana una tatizo la lugha. Unasoma lugha za watu, kwa kukosa uwezo wa kuzielewa, unatoka na tafsiri ya uwongo. Nikusaidie:
Trump hajawahi kuomba taifa lolote liisaidie Marekani au Israel kupigana na Iran.
Baada ya Iran kuzuia meli za mafuta kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, Trump aliomba mataifa yote yanayoathirika na zuio hilo yazilinde kijeshi meli zinazopita kwenye huo mkondo. Mataifa ya NATO na Ulaya, yakagoma kizilelinda meli kijeshi na kudai kuwa yatatumia diplomasia kuondoa hilo zuio. Jana, Trump alitangaza kuwa kama Iran haitafungua, atapiga vituo vyote vya Iran vya kuzalishia nishati. Jana hiyo hiyo Iran imetangaza kuwa hakuna zuio la meli za mafuta kupita kwenye huo mkondo isipokuwa meli za mataifa adui Marekani na Israel.
Hivyo si Israel wala Marekani, iliyoliomba taifa lolote kuingia kwenye vita vyao dhidi ya Iran, ila wanaomba mataifa mengine yatoe ulinzi wa meli za mafuta.
Huyu si alijidai kujiita Rising Lion sa kawa kicheche anaomba asaidiwe sa tuweke utani pembeni nani anaye sema Iran anapigana na US na Israel tu mwenye kudhani vile hujui bado unafiki wa Europe.