Netanyahu na baraza la vita walia vibaya kwenye maziko ya General Gal,mtoto wa waziri aliyeuliwa na Hamas

Israel anasahau haraka. Russia hacheki na msaliti. Israel alimsaliti Russia pale pale Syria.

Inasemekana, Russia aliomba kukaa pale Latkia/Syria na kuweka base yake in a Way kumlinda Israel. Sasa Israel kwa kibri akaua askari wa kielekroniki walikuwa kwenye ndege ya Uchunguzi ya Russia pale Syria kwa kuzubaisha mitambo ya Syria kuifyatulia kombora ndege hiyo ya Uchunguzi.

Israel waligundua hasira za Russia, kiasi cha kwenda Moscow kuomba msamaha na alikwenda Waziri Mkuu wa Israel mwenyewe. Hiki kisa nadhani bado hamjakisahau.

Russia hasamehi kirahisi Rahisi, waweza kukuta huyo Kamanda aliyeondoka ndiye aliamrisha shambulizi like la askari wa Russia kule Syria. Nawaza!!!
Rejea mahojiano ya Benjamin Netanyahu youtube 1982 utaelewa uhusiano wa soviet / russia na palestine
 
Hamas wakaze kamba tu na Allah awathibitishe katika nia na mapigo yao.Muda si mrefu vita vitabadilika na kusambaratisha kitu kilichokuwa hakikutarajiwa.
Tulikua tunaota Israel inafutwa kwenye ramani,,,,yanatimia.

Mashambulizi ya mara Kwa mara ya kushtukiza raia hawawezi vumilia watahama,na hili ndo lengo kuubwa la vile vikundi.
 
Israel anasahau haraka. Russia hacheki na msaliti. Israel alimsaliti Russia pale pale Syria.

Inasemekana, Russia aliomba kukaa pale Latkia/Syria na kuweka base yake in a Way kumlinda Israel. Sasa Israel kwa kibri akaua askari wa kielekroniki walikuwa kwenye ndege ya Uchunguzi ya Russia pale Syria kwa kuzubaisha mitambo ya Syria kuifyatulia kombora ndege hiyo ya Uchunguzi.

Israel waligundua hasira za Russia, kiasi cha kwenda Moscow kuomba msamaha na alikwenda Waziri Mkuu wa Israel mwenyewe. Hiki kisa nadhani bado hamjakisahau.

Russia hasamehi kirahisi Rahisi, waweza kukuta huyo Kamanda aliyeondoka ndiye aliamrisha shambulizi like la askari wa Russia kule Syria. Nawaza!!!
Rejea mahojiano ya Benjamin Netanyahu youtube 1982 utaelewa uhusiano wa soviet / russia na palestine
Israe
20231008_214225.jpg
l kalikoroga kupeleka siraha Uikrane,elewa tunapokueleza Israel hii vita hatoboi
 
Mkuu,
Sifikiri ni sawa kusema maneno haya. Hakuna mtu anayesema tumezoea kufa, ukiangalia watu wanavyoteseka huko huwezi sema watu wamezoea kufa.
Ni vile hawana namna lakini hakuna anayependa yale maisha.

Ilibidi wapambane kulinda raia zao, kwanini israel wanalinda raia zao ilibidi wafanye vivyo hivyo kwa palestine. Raia watafutiwe sehemu maalumu.

Hatuoni uzito sababu hatupo kule ila roho inauma watu wanavyopotea.
tangu israel wamevamia Gaza miaka nenda rudi hakuna mateso ambayo wapalestina hawajapitia kwa hiyo hakuna jipya kwao hata mtoto wa miezi 6 anajua iko siku atakufa kwa bomu
 
Japo wameshaua wapalestina zaidi 20 ukiunganisha na wale walio chini ya kifusi hata hivyo kifo cha askari mmoja wa cheo cha juu kumewahuzunisha sana viongozi wa Israel akiwemo kamanda mkuu wa vita baina yake na wanamgambo wa Hamas.
Baba yake meja Gal huku akilia na kukumbatia jeneza la mwanawe huko Jerusalem alisema huku akimwita mwanawe maiti "Gal,Mimi nina uhakika tutaendelea kuilinda nchi uliyoipenda na tutakuwa washindi.."
Naye Benjamin Netanyahu akasema vifo vya mashujaa wao havitokei bure na kwamba watapigana mpaka ushindi upatikane.
Miongoni mwa waliohudhuria mazishi hayo ni waziri wa zamani wa ulinzi Benny Gantez ambaye ni mpinzani wa Netanyahu aliyekubali kujiunga katika baraza la vita kupambana na Hamas.
View attachment 2837219
Costs of war...
 
Tulikua tunaota Israel inafutwa kwenye ramani,,,,yanatimia.

Mashambulizi ya mara Kwa mara ya kushtukiza raia hawawezi vumilia watahama,na hili ndo lengo kuubwa la vile vikundi.
Watu wengi wako kwenye mahoteli kama kambi za wakimbizi na wanalipiwa na serikali na hawapati raha walizozizoea.Ilitarajiwa wakae kwa muda mfupi mapa zoezi la kuwamaliza Hamas litakapomalizika,
Mwezi wa pili hakuna mafanikio na watu wanaanza kuchoka.
 
Walipanga kupeleka vilio vingi sana palestina. Kinachonishangaza kuona na wao wanalia. Hii dunia ina mambo
 
Hakuna nguvu ya kupiga waliyonayo mayahudi ukiondoa nyuklia kule ile waliyoitumia baada ya oktoba 7 mpaka vita vilipositishwa kwa wiki moja.
Nakuhakikishia wakishindwa kuokoa mateka na vifo kuongezeka upande wao basi baada ya mwezi vita vitawageukia vibaya Israel.
Unaota au unawaza?. Umesemaaaaa?? vita vitamgeukia ....!
 
Umeiona hiyo picha ya askari wa cheo cha juu aliyejeruhiwa.
Idadi ya askari 2000 Israel imekubali kuwa wamelemazwa na hawataweza kupigana tena.Hiyo ni idadi kubwa japo idadi halisi iko juu zaidi.
 
Wewe ni muongo sana huyo alikuwa na cheo cha Msgt, Gen ni baba yake.
Inakwasaidia nini wapalestina huo uongo wako?
Japo wameshaua wapalestina zaidi 20 ukiunganisha na wale walio chini ya kifusi hata hivyo kifo cha askari mmoja wa cheo cha juu kumewahuzunisha sana viongozi wa Israel akiwemo kamanda mkuu wa vita baina yake na wanamgambo wa Hamas.
Baba yake meja Gal huku akilia na kukumbatia jeneza la mwanawe huko Jerusalem alisema huku akimwita mwanawe maiti "Gal,Mimi nina uhakika tutaendelea kuilinda nchi uliyoipenda na tutakuwa washindi.."
Naye Benjamin Netanyahu akasema vifo vya mashujaa wao havitokei bure na kwamba watapigana mpaka ushindi upatikane.
Miongoni mwa waliohudhuria mazishi hayo ni waziri wa zamani wa ulinzi Benny Gantez ambaye ni mpinzani wa Netanyahu aliyekubali kujiunga katika baraza la vita kupambana na Hamas.
Wewe ni muongo huyo mtoto wa Gen,
 
Back
Top Bottom