Netanyahu na baraza la vita walia vibaya kwenye maziko ya General Gal,mtoto wa waziri aliyeuliwa na Hamas

Rejea mahojiano ya Benjamin Netanyahu youtube 1982 utaelewa uhusiano wa soviet / russia na palestine
 
Hamas wakaze kamba tu na Allah awathibitishe katika nia na mapigo yao.Muda si mrefu vita vitabadilika na kusambaratisha kitu kilichokuwa hakikutarajiwa.
Tulikua tunaota Israel inafutwa kwenye ramani,,,,yanatimia.

Mashambulizi ya mara Kwa mara ya kushtukiza raia hawawezi vumilia watahama,na hili ndo lengo kuubwa la vile vikundi.
 
Rejea mahojiano ya Benjamin Netanyahu youtube 1982 utaelewa uhusiano wa soviet / russia na palestine
Israel kalikoroga kupeleka siraha Uikrane,elewa tunapokueleza Israel hii vita hatoboi
 
tangu israel wamevamia Gaza miaka nenda rudi hakuna mateso ambayo wapalestina hawajapitia kwa hiyo hakuna jipya kwao hata mtoto wa miezi 6 anajua iko siku atakufa kwa bomu
 
Costs of war...
 
Tulikua tunaota Israel inafutwa kwenye ramani,,,,yanatimia.

Mashambulizi ya mara Kwa mara ya kushtukiza raia hawawezi vumilia watahama,na hili ndo lengo kuubwa la vile vikundi.
Watu wengi wako kwenye mahoteli kama kambi za wakimbizi na wanalipiwa na serikali na hawapati raha walizozizoea.Ilitarajiwa wakae kwa muda mfupi mapa zoezi la kuwamaliza Hamas litakapomalizika,
Mwezi wa pili hakuna mafanikio na watu wanaanza kuchoka.
 
Walipanga kupeleka vilio vingi sana palestina. Kinachonishangaza kuona na wao wanalia. Hii dunia ina mambo
 
Unaota au unawaza?. Umesemaaaaa?? vita vitamgeukia ....!
 
Unaota au unawaza?. Umesemaaaaa?? vita vitamgeukia ....!
Umeiona hiyo picha ya askari wa cheo cha juu aliyejeruhiwa.
Idadi ya askari 2000 Israel imekubali kuwa wamelemazwa na hawataweza kupigana tena.Hiyo ni idadi kubwa japo idadi halisi iko juu zaidi.
 
Wewe ni muongo sana huyo alikuwa na cheo cha Msgt, Gen ni baba yake.
Inakwasaidia nini wapalestina huo uongo wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…