Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Jabali alafu anaenda kuomba msaada? Mnachekesha sanaJabali wa vita, nguli, mwamba Benjamin Netanyahu Bibi tayari kishatua ndani ya ikulu ya marekani, tayari kwa mazungumzo kabambe na Trump
Jabali linapaa TU hewani, huku kiongozi mkuu wa Iran akiwa kajificha mapangoni hata sebuleni kwake anaogopa kuonekana🤣🤣Jabali alafu anaenda kuomba msaada? Mnachekesha sana
Huyo hapo anapaa hewani kilomita za kutosha anaenda kutembea, yule kiongozo mkuu WA Iran anaogopa hata kutoa pua yake nje ndani ya Iran🤣🤣Vikao haviishi tu.
Mjadiliwa yule yule kwa zaidi ya miezi 18.
Nuclear Reactors n Plants kwisha..... kwa Operesheni sangara zile Wahuni wanafukuta mzigo na hawaogopi mtu.
Ambariki sana na mwamba Benjamin NetanyahuMungu ibariki Israel
ss ndugu zako ktk iman jibriru ni malaika mtoa roho, taratbu usije ukamtoa roha ayatoula wetu.Mungu ibariki Israel
Jibu swali, kwanini jabali la vita haliwezi kupigana lenyewe mpaka likaombe kwanza wanaume wenzake msaada?Jabali linapaa TU hewani, huku kiongozi mkuu wa Iran akiwa kajificha mapangoni hata sebuleni kwake anaogopa kuonekana🤣🤣
Miezi minne sasa kiongozi mkuu wa Iran anaogooa hata kutoka nje ndani ya nchi yake, anaishia kujificha mapangoni kama otango osale🤣🤣Iran yeye yupo anapaka viks kisungura muda huu
Uoga angeshaachia nchi Regime ingekula kiberiti mngepandikiza Takataka zenu kama mlivyopanga kupeleka Takataka Fresh ili kuwinda target zenu.Huyo hapo anapaa hewani kilomita za kutosha anaenda kutembea, yule kiongozo mkuu WA Iran anaogopa hata kutoa pua yake nje ndani ya Iran🤣🤣
Hivi unafikiri Kwa Nini kiongozi mkuu WA Iran ni muoga sana?
Unataka apigane mwenyewe vipi ili uamini anapigana mwenyewe? 🤣🤣Jibu swali, kwanini jabali la vita haliwezi kupigana lenyewe mpaka likaombe kwanza wanaume wenzake msaada?
Usikimbie hili swali
Mwanzo 12 (Biblia Takatifu)Mungu ibariki Israel
Mungu anabariki wanao support ushoga? Huyo Netanyahu ana hamasisha mapenzi ya jinsia moja je Mungu anapenda? Amejaza baraza la mawaziri na mashoga?Ambariki sana na mwamba Benjamin Netanyahu
Kama sio uoga Kwa Nini hajitokezi hadharani? Kwa Nini kaogopa hata kumzika baba yake? Kama sio uoga ni Nini?Uoga angeshaachia nchi Regime ingekula kiberiti mngepandikiza Takataka zenu kama mlivyopanga kupeleka Takataka Fresh ili kuwinda target zenu.
Huo uoga unauona wewe.