Ukitaka kuleta mambo hayo ya ushoga, mbona kiongozi mkuu wa Sasa WA Iran ni shogaMungu anabariki wanao support ushoga? Huyo Netanyahu ana hamasisha mapenzi ya jinsia moja je Mungu anapenda? Amejaza baraza la mawaziri na mashoga?
View attachment 3638706
"Bila mimi Iran ingeifutilia mbali Israel" na leo mko hapo kumjadili Muoga.Kama sio uoga Kwa Nini hajitokezi hadharani? Kwa Nini kaogopa hata kumzika baba yake? Kama sio uoga ni Nini?
Israel inatisha eeh?🤣🤣
Siku akijitokeza tu hadharani Israel wanamla kichwa, subiri utakuja kuniambia
Hawana huo uwezo, wangekua na uwezo huo wangeweza kumlinda kiongozi wao mkuu, lakini anaishia kujificha mapangoni, miezi minne sasa anaogooa hata kujitokeza hadharani ndani ya nchi yakeWaajemi wanatisha sana, hawa jamaa wana ustaarab wa hali ya juu sana.... Inawezekana ndio wateule wa mwenyezi Mungu na Na tukawa tumeshindwa kutambua. Haiwezekani mtu kabla hajakupiga anakupa taarifa siku ya leo nitapiga sebuleni kwako na anaopiga kweli.. Halafu hawana papara na unafiki , yeye anabutua maelezo ya kipigo mtatoa nyinyi. Long live Persians
Abraham alikua na watoto wengi na sio wote ni waisrael yaani ukiachana tu na isaka alizaa watoto wengine watano.Mwanzo 12 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Bwana akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;
² nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;
³ nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Marekani na Israel wanakutana Kila mara, Wana mengi ya kujadili sip Jana wale Leo"Bila mimi Iran ingeifutilia mbali Israel" na leo mko hapo kumjadili Muoga.
Unajiskiaje kueumbuliwa na muoga kiasi cha kuwafanya Taifa dume kufikia Break point katika jeshi lake hivyo kufkiri kulazimisha viajana kiume kuanzia miaka 18-24 kwenda front Ardhini.
Mnavuja damu.
Kwanini unashida ya kumuona kiongozi mkuu wa Iran na si wa Msumbiji?Huyo hapo anapaa hewani kilomita za kutosha anaenda kutembea, yule kiongozo mkuu WA Iran anaogopa hata kutoa pua yake nje ndani ya Iran🤣🤣
Hivi unafikiri Kwa Nini kiongozi mkuu WA Iran ni muoga sana?
Kipindi unapiga kelele Jua tu CIA station ndani ya US embassy huko Riyadh imekula moto na muoga ndio alishasema hakuna kurudi nyuma.Marekani na Israel wanakutana Kila mara, Wana mengi ya kujadili sip Jana wale Leo
Wewe tuambie kwa nini kiongozi mkuu wa nchi anaogopa kujitokeza hadharani ndani ya nchi yake kwa miezi minne sasa?
Si mlituambia Mossad inajua kila kitu sasa inashindwa vipi kujua alipo Ayatollah?Hawana huo uwezo, wangekua na uwezo huo wangeweza kumlinda kiongozi wao mkuu, lakini anaishia kujificha mapangoni, miezi minne sasa anaogooa hata kujitokeza hadharani ndani ya nchi yake
Hapa magaidi wajipange sana.Jabali wa vita, nguli, mwamba Benjamin Netanyahu Bibi tayari kishatua ndani ya ikulu ya marekani, tayari kwa mazungumzo kabambe na Trump.
Netanyahu alisafiri Jana kwenda marekani kwa ajili ya kikao chake na trump. Kikao ambacho akitoka huko atakuja na operation endgame(jiandaeni maana huwa hatanii huyu mwamba).
Wakati huo huo kiongozi mkuu wa Iran wa sasa Ayatollah Mojtaba ameogopa kuonekana hata hadharani huko nchini kwake Iran, ni miezi minne imetia bila kuonekana kwa sababu ya hofu, anaishi mapangoni kama otango osale.
Israel inatisha, Netanyahu anatisha sana. Anapasua anga kwenda kokote atakapo wakati kiongozi mkuu wa Iran anaishi kwa kujificha mapangoni 🤣🤣
Adiosamigo
Ritz
Echolima1
Khaibar
zitto junior
gTurn
Imeloa
Keyboard_Warrior
hearly
TAI DUME
HIMARS
dem boyz
100 others
MlimaSayuni
6 Pack
Lee Van free
Benoit
MakinikiA
mdogoee
Khanji kapoor
Nifah
Aleyn
Mwalimu wa tuisheni
Shytown
View attachment 3638688
View attachment 3638689
View attachment 3638690
Tangu lini bana we, eti station, we unadhani CIA Ina operate kama hawa matako wenu wa TISS?🤣Kipindi unapiga kelele Jua tu CIA station ndani ya US embassy huko Riyadh imekula moto na muoga ndio alishasema hakuna kurudi nyuma.
Mojtaba ana mke na watoto kibao tu, lakini kisheria kabisa Iran hairuhusu ushoga. Ila Netanyahu anasuport ushoga na pia ameteua mawaziri kadhaa ambao ni mashoga na wasagaji sasa kibiblia Mungu si hataki ushogaUkitaka kuleta mambo hayo ya ushoga, mbona kiongozi mkuu wa Sasa WA Iran ni shoga
View attachment 3638708
Unajichekesha wenzio wanaugulia huko.Tangu lini bana we, eti station, we unadhani CIA Ina operate kama hawa matako wenu wa TISS?🤣
Sina shida ya kumuona, wananchi wa Iran ndio Wana shida ya kumuona ndio wanaohoji kwa nini anaogopa hata nchi yake?Kwanini unashida ya kumuona kiongozi mkuu wa Iran na si wa Msumbiji?
Simply kwakua Iran ndio mwanaume wenu,
Nyie si mna MOSSAD wameshindwa kuwaeleza yuko pango gani hadi leo hii?
Story za alfu lela ulela🤣🤣Kipindi unapiga kelele Jua tu CIA station ndani ya US embassy huko Riyadh imekula moto na muoga ndio alishasema hakuna kurudi nyuma.
Ila hawakumueleza kuwa yuko pango gani 😁😁😁Ukitaka kuleta mambo hayo ya ushoga, mbona kiongozi mkuu wa Sasa WA Iran ni shoga
View attachment 3638708
Kikao cha Watu wabayaJabali wa vita, nguli, mwamba Benjamin Netanyahu Bibi tayari kishatua ndani ya ikulu ya marekani, tayari kwa mazungumzo kabambe na Trump.
Netanyahu alisafiri Jana kwenda marekani kwa ajili ya kikao chake na trump. Kikao ambacho akitoka huko atakuja na operation endgame(jiandaeni maana huwa hatanii huyu mwamba).
Wakati huo huo kiongozi mkuu wa Iran wa sasa Ayatollah Mojtaba ameogopa kuonekana hata hadharani huko nchini kwake Iran, ni miezi minne imetia bila kuonekana kwa sababu ya hofu, anaishi mapangoni kama otango osale.
Israel inatisha, Netanyahu anatisha sana. Anapasua anga kwenda kokote atakapo wakati kiongozi mkuu wa Iran anaishi kwa kujificha mapangoni 🤣🤣
Adiosamigo
Ritz
Echolima1
Khaibar
zitto junior
gTurn
Imeloa
Keyboard_Warrior
hearly
TAI DUME
HIMARS
dem boyz
100 others
MlimaSayuni
6 Pack
Lee Van free
Benoit
MakinikiA
mdogoee
Khanji kapoor
Nifah
Aleyn
Mwalimu wa tuisheni
Shytown
View attachment 3638688
View attachment 3638689
View attachment 3638690
Story hee kukufikieni mikiani huko lazima zipite wiki ndio unajua naloongea hapa sio story.Story za alfu lela ulela🤣🤣
Anaongea hayo akiwa mapangoni, mwenzie huyo hapo anakula mwewe kwenda kula bata marekani🤣🤣
Wakati Iran alishambulia Tela Aviv alikuwa kwenye shimo la panyaJabali wa vita, nguli, mwamba Benjamin Netanyahu Bibi tayari kishatua ndani ya ikulu ya marekani, tayari kwa mazungumzo kabambe na Trump.
Netanyahu alisafiri Jana kwenda marekani kwa ajili ya kikao chake na trump. Kikao ambacho akitoka huko atakuja na operation endgame(jiandaeni maana huwa hatanii huyu mwamba).
Wakati huo huo kiongozi mkuu wa Iran wa sasa Ayatollah Mojtaba ameogopa kuonekana hata hadharani huko nchini kwake Iran, ni miezi minne imetia bila kuonekana kwa sababu ya hofu, anaishi mapangoni kama otango osale.
Israel inatisha, Netanyahu anatisha sana. Anapasua anga kwenda kokote atakapo wakati kiongozi mkuu wa Iran anaishi kwa kujificha mapangoni 🤣🤣
Adiosamigo
Ritz
Echolima1
Khaibar
zitto junior
gTurn
Imeloa
Keyboard_Warrior
hearly
TAI DUME
HIMARS
dem boyz
100 others
MlimaSayuni
6 Pack
Lee Van free
Benoit
MakinikiA
mdogoee
Khanji kapoor
Nifah
Aleyn
Mwalimu wa tuisheni
Shytown
View attachment 3638688
View attachment 3638689
View attachment 3638690