Netanyahu Na Trump Wakiwa Ndani ya Ikulu Ya Marekani

Mwamba Netanyahu toka lini akajificha?🤣🤣

Niliwahi kukuambia kuwa wafuasi WA Iran wengi hawako na akili sawa ila ukanibishia.

Mwanzo walisema kakimbilia Germany, mara baada wakaanza kusema kapiga na makonbora ya Iran🤣🤣

Huo mwezi wa 3 Netanyahu alikua yupo anaendelea na kazi yake na sehemu zilizoshambuliwa alikua anazitembelea kama kawaida
Hii tarehe 3 march alikua katembelea Kambi ya ndege palmachim


Tarehe 22 march alikua ametembelea eneo la arad lililoshambuliwa na Iran Jana yake usiku, huyo hapo


Ili uwe mfuasi wa Iran lazina uwe muongo muongo, pia akili ziwe zimeyumba🤣🤣🤣
 
Hata Uncle T ana watoto, juma lokole ana watoto🤣🤣

Iran hairuhusiu ushoga, ila inaruhusu transgender. Happy ndio utaelewa unafki wa wavaa kobazi. Unaruhusu wanaume waliojinadilisha jinsia, ala unasema huruhusu ushoga?🤣🤣🤣
 
Afu leo Iran kasema nchi yoyote ile inamsaidia USA kutumia frozen money za Iran hawatapita Hormuz sa kumbuka pesa nyingi zipo China afu Japan, India, Qatar, Iraq afu South Korea hawataruhusiwa kupita Hormuz nani ataendelea na ujinga wa USA. China wa kwanza atasema mimi nahitajia Oili na hizo nchi zote bila Hormuz hawawezi kusurvived

Tazama Frozen Money Zipo wapi USA hana kitu hapo

Major Locations of Frozen FundsChina: Holds the largest share, estimated at over $20 billion in oil revenues.Iraq: Holds approximately $6 billion from natural gas and electricity purchases.Qatar: Holds around $6 billion previously transferred under restricted humanitarian frameworks.India & Japan: Hold significant sums from past energy exports, estimated at roughly $7 billion and $1.5 billion respectively.Western Nations: The United States holds roughly $2 billion, and European institutions like Luxembourg hold about $1.6 billion
 
Sasa tarehe 3 unaruka hadi 22 hizo claims za kutoonekana public zilikuwepo hiyo wiki kuanzia tarehe 9 mpaka 15. Tena hiyo 15 ndio ikatolewa video akiwa ndani anakunywa kahawa sio public as in open space.

Hoja hapa ni kwamba kiongozi kulindwa wakati wa vita sio jambo geni hata Trump si unaona hadi ndege ilibadilishwa kama precaution wala sio dalili za udhaifu.
 
Hujajibu swali, umesema israel ndio imebarikiwa hao wengine ikiwemo Iran si wamelaaniwa?

Sasa swali hao wanabarikiwaje ilihali wanaruhusu ushoga ? Je biblia inaruhusu ushoga?
 
Story hee kukufikieni mikiani huko lazima zipite wiki ndio unajua naloongea hapa sio story.

Eti Anakula bata ,mtu ana hofu ya kuwa Isolated uwanjani peke ake.
Toka lini mwamba Netanyahu akawa na hofu?🤣🤣

Hofu IPO Iran huko maana hawajui akitoka hapo atawatanguliza kina nani jehanamu kama alivyofanya kwa hawa👇
 
Ayatollha khamenei na viongozi wenzake walikua na maneno mengi kama wewe lakini sasa hivi wapo jehanamu🤣🤣
 
Kwa hiyo ulikua unataka Kila siku aonekane? Ilibidi kila tarehe awe live kwenye tv?🤣🤣

Huyo hapo mwamba wakati WA vita yupo mtaani anakagua paliposhambuliwa.
 
Hujajibu swali, umesema israel ndio imebarikiwa hao wengine ikiwemo Iran si wamelaaniwa?

Sasa swali hao wanabarikiwaje ilihali wanaruhusu ushoga ? Je biblia inaruhusu ushoga?
Lini nimewani kusema Israel imebarikiwa? 🤣🤣.

Mimi nachosema Israel inatisha, inaogopwa. Hayo ya kubarikiwa nimeyasema wapi?

Dogo unavuta Nini? Unanifananisha?
 
Baba yake Yuko Kwa Allah anaji2ombea mabikra yake 72
 
Netanyahu: mazungumzo ya Leo dhidi ya Trump yalikua mazungumzo Bora sana kuliko mazungumzo yoyote tuliyowahi kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…