Netanyahu Na Trump Wakiwa Ndani ya Ikulu Ya Marekani

Baraka zilizoamriwa kwa Ibrahimu ni kupitia kwa mtoto wake ISAKA (mtoto wa ahadi), Isaka kupitia Yakobo (ambaye ndiye Israeli).

Mungu akisema baraka hamaanishi mafuta na gesi. Baraka za Mungu ni zaidi ya hapo. Baraka za rohoni ambazo kimsingi ndizo haswa lengwa. Baraka zinazotupatia UZIMA WA MILELE. Baraka hizi tumezipata kupitia Ibrahimu, Isaka, Yakobo (Israeli), Yuda ambako ndilo kabila alilozaliwa YESU Bwana na Mwokozi wa MAISHA ya wanadamu wote watakaomwamini.

WAGALATIA 3:29 Iko wazi.

“Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.
”
— Wagalatia 3:29 (Biblia Takatifu)
 
😄😄😄 Tukiwaambiaga hivyo wana kuona mtu wa ajabu

Mungu wa waisrael anaye aminika kwamba ndiye mungu sahihi na kuabudiwa sehemu kubwa ya watu ulimwenguni na baadhi ya Waafrica wengi wakiwa ni sehemu ya wanao muabudu , Huyo mungu ameshindwa kuwaboreshea maisha Yao na kuwafanya wawe watu Bora kimotazamo kiuchumi kisiasa kisayansi na kiutawala

Lakini ajabu mungu Huyo haaminili kwenye Taifa la wachina na china imekuwa na maendeleo makubwa kuliko mataifa yanayo muabudu mungu wa Israel

So it means kumbe mungu anazidiwa nguvu Akili maarifa Juhudi Kasi ya kujibu maombi na mungu wa wachina !!?? 😄😄😄

Mkuu binafsi katika watu ninao tambua uwezo wao wa kufikiri kuwa upo beyond na uwezo wa watu wengi wa kawaida mmoja wapo ni wewe humu

Kuna wakati Huwa nashangaa sana vijana wanapo kukosea heshima , Muda mwingine unatoa hoja nzito sana with vivid reference, hoja ambazo ili mtu aweze kukujibu inabidi kwanza aende library lakini ajabu anatokea kilaza mmoja anajibu tu kimaandazi maandazi Huwaga nacheka sana 😄
 
Jibu swali, kwanini jabali la vita haliwezi kupigana lenyewe mpaka likaombe kwanza wanaume wenzake msaada?

Usikimbie hili swali
Wakati anasafisha viongozi wa iran usije hapa na vihoja vyako kuwa iran ina population ya watu milioni 100
 
Yule mayor haja

fanikiwa kumkamata?
 
Toka lini mwamba Netanyahu akawa na hofu?🤣🤣

Hofu IPO Iran huko maana hawajui akitoka hapo atawatanguliza kina nani jehanamu kama alivyofanya kwa hawa👇
View attachment 3638867
Muiran hafichi mana ukweli ukichomoza mnaona kazi ya kuanzisha uongo mpya inavyowasumbua.

Waliparua alipokuwepo siku ile alikaa siku ngapi hadi kuja wazi ? Kama alikuwa haogopi.

Walete hao raia pacha waone hofu inavyofanya kazi.
 
kwa kuomba misaada na kulia lia kwa hilo huyo kweli anatisha sana...tunampa maua yake MR BUY TIME
 
Wanajadiri kupigika
 
Kwani nani amewaambia mtu akiwa shoga hawezi kuzaa? Elimu elimu elimu. Mbegu hazifi wewe. Na kuwa shoga haimaanishi inakufa haisimami. Mnadanganyana sana kitaa. Bisexuals kama hao mnaowaita mabasha ni mashoga pia.
 
Kwani nani amewaambia mtu akiwa shoga hawezi kuzaa? Elimu elimu elimu. Mbegu hazifi wewe. Na kuwa shoga haimaanishi inakufa haisimami. Mnadanganyana sana kitaa. Bisexuals kama hao mnaowaita mabasha ni mashoga pia.
Umeelewa tunachodebate hapa? Issue ni kwamba Iran inapinga ushoga kisheria kabisa ila Israel inatambua mapenzi ya jinsia moja. Na hata baraza la mawaziri wa kuna mashoga wameteuliwa.

Sasa swali linakuja Mungu wa Israel wa kwenye biblia anaruhusu ushoga? Kama haruhusu, je hizo baraka tunazodai wanazo je Mungu atawapa wanaounga ushoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…