Netanyahu Na Trump Wakiwa Ndani ya Ikulu Ya Marekani

πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜πŸ˜ƒπŸ€£πŸ™…β€β™‚οΈ
 
Umeelewa tunachodebate hapa? Issue ni kwamba Iran inapinga ushoga kisheria kabisa ila Israel inatambua mapenzi ya jinsia moja. Na hata baraza la mawaziri wa kuna mashoga wameteuliwa.
Issue hapa si kupinga Ushoga au kutambua Ushoga!! Mbona hata hapa kwetu Mashoga wapo tu hata kwenye familia yako mashoga wako wengi tu!!!

Kwa ujinga ulio nao umeona ushoga ndiyo silaha yako ya kujenga na kueneza chuki dhidi ya Israel wakati huohuo wewe na familia yako kuna mashoga wengi kupindukia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…