Netanyahu: Tunaondoka Rafaa na kuhamia lebanon

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Waziri Mkuu wa Israel amewaambia wanahabari kuwa baada ya mafanikio makubwa Gaza hasa eneo la mwisho la Rafaa yanabadili upepo na sasa wanahamishia vikosi mpakani mwa Lebanon kupambana na Hizbolah .

Kama kuna kima nafikiria Israeli itaicha mipakani mitakatifu ichezewe na magaidi atakuwa unakosea sana

Chanzo aljazeera
USSR
 
Waziri Mkuu wa Israel amewaambia wanahabari kuwa baada ya mafanikio makubwa Gaza hasa eneo la mwisho la rafaa yanabadili upepo na sasa wanahamishia vikosi mpaknank mwa Lebanon kupambana na Hizbolah .

Kama kuna kima nafikiria Israeli itaicha mipakan mitakatifu ichezewe na magaidi atakuwa unakosea sana

Chanzo aljazeera
USSR
Sijui kwanini wafia dini wanaichukulia poa sana israel wanauawa lakini bado wabishi
 
Waziri Mkuu wa Israel amewaambia wanahabari kuwa baada ya mafanikio makubwa Gaza hasa eneo la mwisho la rafaa yanabadili upepo na sasa wanahamishia vikosi mpaknank mwa Lebanon kupambana na Hizbolah .

Kama kuna kima nafikiria Israeli itaicha mipakan mitakatifu ichezewe na magaidi atakuwa unakosea sana

Chanzo aljazeera
USSR
Hii ndiyo kitaalam tunasema mfa maji haachi kutapatapa.
Atuambie kwanza kama ameshawaangamiza Hamas wote na pia kumkamata/kumuua Yahya Sinwar.
 
Ina maana kashindwa kuwamaliza hamas au? Na mateka ndio imeshindikana kuwaokoa?
 
Hii ndiyo kitaalam tunasema mfa maji haachi kutapatapa.
Atuambie kwanza kama ameshawaangamiza Hamas wote na pia kumkamata/kumuua Yahya Sinwar.
Kuwa serious kidogo, Hamas unajua ni kama kuku wa kienyeji hawatulii sehemu moja, waambie wapigane kama jeshi kamili waende frontline dhidi ya Israel uone kama watabaki hata mmoja..

Usisahau kumuita na huyo Yahaya wako!.
 
Waambie na waisraeli nao wasipokee misaada ya silaha toka USA, UK, German, France, Italy..zipigwe kavukavu tuone
 
Waziri Mkuu wa Israel amewaambia wanahabari kuwa baada ya mafanikio makubwa Gaza hasa eneo la mwisho la rafaa yanabadili upepo na sasa wanahamishia vikosi mpaknank mwa Lebanon kupambana na Hizbolah .

Kama kuna kima nafikiria Israeli itaicha mipakan mitakatifu ichezewe na magaidi atakuwa unakosea sana

Chanzo aljazeera
USSR
We mtoa mada ni kweli kima Israel atasubutu kugusa Lebanon nakusudia kuingia Full war na Hezbullah basi uje unite mimi kima 😄

Satanyahu yupo kubweka tena kwenye channel 14 ya Israel, ambayo ndio channel yake ya karibu.

Kuwatisha Hezbullah eti atatumia silaha kali sana, silaha gani hakuitumia Gaza au Lebanon.

Labda Nuclear ule wimbo wa Putin nani leo duniani atakuruhusu utumie Nuclear 😄

Hezbullah wanacheka tu, wanajua wameisha muweka Israel uchi, na wao Hezbullah ndio wenye silaha kali, Israel atashangaa mwenyewe zikianza kutumiwa.

America mwenyewe kisha elewa, safari hi Mziki wa Hezbullah Israel hauwezi.
 
Vipi kabla hajapeleka majeshi kusini mwa Lebanoni mateka wameshapatikana?
Satanyahu anasema kashinda vita wakati Hamasi leo karusha missiles na wamewala vichwa, vifaruu viwili vya Israel vimesambaratishwa 😄

View: https://youtu.be/IHTk7uoGoKQ?si=1L5cEKaYKhMyxFVE

Jeshi la Israel wameanza kutisha kwa kutumia media zao, Western na vibaraka wao Lebanon ili kuleta fitna. Wanachotaka wa Lebanon wanzishe vita na Hezbullah, oh Israel atapiga Airport wacha apige kama yeye ni mwanaume hahaha
 
Waziri Mkuu wa Israel amewaambia wanahabari kuwa baada ya mafanikio makubwa Gaza hasa eneo la mwisho la rafaa yanabadili upepo na sasa wanahamishia vikosi mpaknank mwa Lebanon kupambana na Hizbolah .

Kama kuna kima nafikiria Israeli itaicha mipakan mitakatifu ichezewe na magaidi atakuwa unakosea sana

Chanzo aljazeera
USSR
Mapambano miezi 8 katengeneza drama kaokoa mateka 4 wote shavu dodo!
 
Back
Top Bottom