Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kondoo atabaki kuwa kondoo tu siku zote Israel kisha ingia vita mara ngapi, kavunja majumba Lebanon na Gaza mbona bado Hezbullah yupo na Hamasi wapo na kila kukicha anaomba silaha unajua sababu gani.
View: https://x.com/Osint613/status/1805330310915092937
Kobazi ni wepesi kusahau sana.. Tunzeni picha za Lebanoni
Haezi mpeleka Dada yake ataenda yeye maana kanisa lisharuhusu ugasho wote ni watoto teule watapakana mafuta
Sawa myahudi wa vikindu nenda Katoe tena dada yako ili mpate uzao wa kiuyahudi ..msiwe kama mmekatwa kichwa ..vita sio kama kusonga ugali wa mumeo ..Israeli yupo hoi amepigana vita kwa miezi 8 ili ashinde kwa gharma yoyote ili na misaada mbali mbali lakini yupo hoi bin taabaan
Tatizo mme anza kupigwa PIPE mapema sana toka enzi za Madrasa mpaka ukubwani hata pampas zinakua hazina msaada tenaHaezi mpeleka Dada yake ataenda yeye maana kanisa lisharuhusu ugasho wote ni watoto teule watapakana mafuta
kuna mwaka walitoa takwimu kuwa wagonjwa wa akili ni wengi hapa Tz tulikuwa tunabisha ila hiz comments zinadhihirisha , mtu yupo chumbani kwako bado unasema hajashinda mpk awamalize woteHii ndiyo kitaalam tunasema mfa maji haachi kutapatapa.
Atuambie kwanza kama ameshawaangamiza Hamas wote na pia kumkamata/kumuua Yahya Sinwar.
Waziri Mkuu wa Israel amewaambia wanahabari kuwa baada ya mafanikio makubwa Gaza hasa eneo la mwisho la Rafaa yanabadili upepo na sasa wanahamishia vikosi mpakani mwa Lebanon kupambana na Hizbolah .
Kama kuna kima nafikiria Israeli itaicha mipakani mitakatifu ichezewe na magaidi atakuwa unakosea sana
Chanzo aljazeera
USSR
Mbona kama unawasema Mazayuni maana wale hadi jeshini wanaume kwa wanaume wanapigana pipe hadi kufikia mwanajeshi anavaa pampas.Tatizo mme anza kupigwa PIPE mapema sana toka enzi za Madrasa mpaka ukubwani hata pampas zinakua hazina msaada tena
Mifi yako 🚮kuna mwaka walitoa takwimu kuwa wagonjwa wa akili ni wengi hapa Tz tulikuwa tunabisha ila hiz comments zinadhihirisha , mtu yupo chumbani kwako bado unasema hajashinda mpk awamalize wote
Wenzako haoWaziri Mkuu wa Israel amewaambia wanahabari kuwa baada ya mafanikio makubwa Gaza hasa eneo la mwisho la Rafaa yanabadili upepo na sasa wanahamishia vikosi mpakani mwa Lebanon kupambana na Hizbolah .
Kama kuna kima nafikiria Israeli itaicha mipakani mitakatifu ichezewe na magaidi atakuwa unakosea sana
Chanzo aljazeera
USSR
Wewe Tayari ni mbwa tu, Hezbollah watapigwa hadi wanyeIsreli akipogana tena vita kama vya gaza niite mbwa .huouwezo hana tena
View: https://x.com/Osint613/status/1805250453988331528
Leo Waziri wa Usafiri wa Lebanon na Balozi wa Iraq wamefanya tour kwenye uwanja wa ndege wa Lebanon
🤣 🤣
Hezbollah wanakuambia Israel hawezi kupigana nao, wao wanapigana na USA huoni Israel kakimbilia USA ndio aje apigane na HezbollahDah! Wameenda kuuaga au kuuona huo uwanja kwa mara ya mwisho? Manake wakithubutu kulianzisha dhidi ya IDF, huo uwanja utageuzwa kifusi hautakuwepo tena.
hamjali.kuhusu usalama wa wapalestina mnajali kubakia na mateka ?Katika miezi yote 8+ ya vita, wamefanikiwa kuwaokoa mateka wasiozidi watano!
Imagine mateka zaidi ya 100 wako ndani ya kaeneo kadogo tu! Lakini wameshindwa kuwaokoa pamoja na kujigamba kuwa na intelijensia ya hali ya juu, na pia vifaa vya kisasa
kanisa likiruhusu unakuwa shoga ? ndio maana uislam unawaburuza maana hamuez jiendeshaHaezi mpeleka Dada yake ataenda yeye maana kanisa lisharuhusu ugasho wote ni watoto teule watapakana mafuta
Huo ndo ukweli atavizia mabdrone pekee yake kule hakutakuwa na blockage kama gaza na food starvation bali ni piga ni kupige na sasa hivi ameshaalegea na anajua maana ya vita sio kukurupukaIsrael hawafahamu lugha isipokuwa lugha ya silaha, wameona Lebanon kuna moto wanajidai sasa tunapendelea tuipe chance peace kabla ya vita na Hezbullah 😄
Wameona Hezbullah ni moto wa kuotea mbali wataishia kupiga ile nakupiga na wewe nipige lakini full war hauwezi muziki wa Hezbollah
Kukomboa mateka wote mbona mission gaza haijaishaHii ndiyo kitaalam tunasema mfa maji haachi kutapatapa.
Atuambie kwanza kama ameshawaangamiza Hamas wote na pia kumkamata/kumuua Yahya Sinwar.
Tumekusikia mbwa mtarajiwa.Isreli akipogana tena vita kama vya gaza niite mbwa .huouwezo hana tena
Hasubutu kugusa hio Air port ya Lebanon afu hakuna dalili ya aina yoyote wamepata afu nani kawazuia kuingia si uwongo tu.Sisi tunachotaka kusikia ni makelele toka kwa wavaa kobazi tu na lebanoni yote inakuwa kifusi tu
God bless israel